Sijapata kuona chama hovyo kama CHADEMA

Sijapata kuona chama hovyo kama CHADEMA

chama konaweka wagombea hawajui kusoma
chama kina wagombea hawsajui kujaza fomu za uchaguz
viongozi hawajui masharti na sheria za uchaguzi
kuchukua matapishi ya ccm na kuyala badala ya kujiandalia viongozi wake
kisha unawekea pingamizi halafu unamwandikia barua pm huku unalia
chama hovyo sn
Konaweka ndio nini?,hapa ndio utajua kati yako na wao nani msomi...
 
mwenyekiti mkibosho
wakurugenz wengi wakibosho
nashangaa mkwere unataka saccos isiokuhusu
Ulivyoanza na post yako nilifikiri utakuja na hoja nzito ila jinsi uzi unavyokwenda na unavyojibu inaonyesha huna hoja zaidi tantalila kibao na chuki tena za akili ya kimaskini...
 
Ccm.wizi wizi wizi kila mahala ila za mwizi 40 ndio zimetimia bado.kido tuanze kuwapiga mawe kila kona
 
Hivi ni Chama gani kilichotufikisha hapa?
1. Watumishi wa Ikulu wanaiba fedha za walipakodi mchana kweupe tena kwa kusomba kwenye mabx na Sadarusi
2. Mawaziri wamegeuka madalali wa kunadi rasilimali za watanzania
3. Mikataba ya hovyo Zaidi kuliko ile ya Mangungo
4. Wananchi kushindwa kumudu mlo mmoja kwa siku wakati utajiri wa nchi unamilikiwa na wageni
5. Watumishi kulipwa mishahara ya kuwakejeli huku wakilipishwa kodi kubwa....
6. Nchi yetu kuwa soko la sembe
7. Kutoweka kwa Tembo
8. Viongozi kung'ang'ania madarakani pamoja na UFISADI mkubwa walioufanya
9. Kutoweka kwa misitu kunako sababishwa na kuhujumiwa kwa TANESCO, Wananchi hawamudu gharama za umeme
10. Kulazimisha Ushindi kwa gharama yoyote ile...Hujma dhidi ya demokrasia....

.... CHAMA CHA MAJAMBAZI CCM ndo cha hovyo kabisa ktk sayari hii dunia....
 
Baada ya kuzipitia post zako nyingine Nilikupuuza ila walau hapa umekiri kuwa Chadema ni wabaguzi na walioegemea kikanda hivyo Nimeona Nikuunge Mkono na Kukupongeza kwa kulitambua hilo.

Unapoona mwenzio mpuuzi basi jua wewe ni mpuuzi mara mia.Sijakiri CHADEMA ni wabaguzi ila wewe ndiyo mbaguzi.Mawazo yenu ni kama vile wachagga hawana haki kwenye nchi yao,wenye hakini makabila hayo uliyoyataja.

Hivyo ujue kwamba wabaguzi wa kwanza kabisa ni CCM ambayo imejitahidi kutugawa kwa UDINI,UKABILA na UKANDA ikidhani tutanunua ujinga wao tena.

Pole sana,na pia sikulazimishi siyo tu kusoma post zangu hata kujibu pia.
 
Unapoona mwenzio mpuuzi basi jua wewe ni mpuuzi mara mia.Sijakiri CHADEMA ni wabaguzi ila wewe ndiyo mbaguzi.Mawazo yenu ni kama vile wachagga hawana haki kwenye nchi yao,wenye hakini makabila hayo uliyoyataja.

Hivyo ujue kwamba wabaguzi wa kwanza kabisa ni CCM ambayo imejitahidi kutugawa kwa UDINI,UKABILA na UKANDA ikidhani tutanunua ujinga wao tena.

Pole sana,na pia sikulazimishi siyo tu kusoma post zangu hata kujibu pia.

unamjua padri slaa na mchungaji msigwa?unamjua lymo lema mbowe ndesamburo mdee mnyika
 
Pole sana chagua Chama bora unachoona sio cha hovyo ujiunge wala hakuna haja ya kulalamika unapoteza muda wako bure
 
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini

1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision

Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.
umesahau na ccm.
ni chama cha hovyo kabisa,katibu mkuu KINANA anamiliki tembo wote wa tanzania.
mwenyekiti wa ccm dar ndg MADABIDA anamiliki kiwanda cha kutengeneza arv feki.
mwenyekiti wa ccm mbeya MULLA alinunua shamba la chai lupembe kwa bei ya kutupa na kuiuzia serikali nguzo za umeme kwa bei ya kuruka.
fedha zilizoibiwa tegeta escrow ziligawanya ki freemason na waliopata mgao ni makada wa ccm wafuatao.
mkuu wa kaya na familia yake(simba trust)
fisadi chenge 1.6 b
fisadi tibaijuka 1.6b
fisadi ngeleja 40.4m
fisadi werema (alibeba na gunia)
fisadi mujulizi 40.4m
fisadi mtoto wa mkulima (gunia)
fisadi muhongo(mabox)
fisadi.................
fisadi................
fisadi....................
fisadi............................
fisadi................................nknk.
 
mkuu chama chako CAG ALIKIPA HATI YENYE UTATA
WATU WANAKOPESHA CHAMA KISHA RUZUKU INAHAMIA KWENYE ACCOUNT ZAO KWAN TASISI ZA FEDHA SI ZIPO
WATU WAMEJIKOOESHA MIL160 ZA RUZUKU WAKATI BENKI ZIPO
WATU WANAMAJUMBA SOUTH AFRICA DUBAI BILA HELA HILO NOT POSSIBLE
WEWE HUONI HUO NI UFISADI UNABWATA TU KAMA............

Dah kumbe ufisadi ni kosa? Na wale wanaojilimbikizia za umma? Wale wanaoficha hela kwny mabenki ya nje nao ni wana Chadema? Tuwe wakweli jamani tuache ushabiki wa kijinga
 
Mie nimeweka kadi za ccm kichagoni. Jumapili hii napigia chadema kura.
 
Chadema ni genge la wahuni pale hakuna kiongozi hata mmoja ni genge fulani la watu walioanzisha mfumo wa maisha yao kwa mgongo wa siasa.

Hizo ni dalili za tezi dume! Teh teh teh teh teh
 
Dah kumbe ufisadi ni kosa? Na wale wanaojilimbikizia za umma? Wale wanaoficha hela kwny mabenki ya nje nao ni wana Chadema? Tuwe wakweli jamani tuache ushabiki wa kijinga

ufisadi hairuhusiwi popote
 
unamjua padri slaa na mchungaji msigwa?unamjua lymo lema mbowe ndesamburo mdee mnyika

Huna hoja,kwani uliowataja sio watz? Wana haki sawa na mimi msukuma katika taifa letu na ndiyo maana nawakubali.VIVA CHADEMA,TUMAINI LA WANYONGE NA WAPENDA HAKI.
 
Back
Top Bottom