Sijapata kuona chama hovyo kama CHADEMA

Sijapata kuona chama hovyo kama CHADEMA

Anzisha chama chako basi
halafu na wewe uwaweke wa DINI yakona UKANDA wako.
MKWERE mwingine kwenye URAIS hivi watazania hatujitaki
au!!!!!!!!!!!!!!!!!
Baada ya kuzipitia post zako nyingine Nilikupuuza ila walau hapa umekiri kuwa Chadema ni wabaguzi na walioegemea kikanda hivyo Nimeona Nikuunge Mkono na Kukupongeza kwa kulitambua hilo.
 
Mimi Nakuunga Mkono Mkuu kuwa vyama vya upinzani ni muhimu katika kukuza Demokrasia ila swala la Chadema kuitwa chama kinachoweza kutwaa madaraka ni swala Nitakalolipinga siku zote.
Kuchaguliwa Kwa Chama cha Chadema au kuto kuchaguliwa kwa Chadema kuongoza nchi au kuto ongoza nchi sio swala lako

wewe au langu mimi, hilo ni suala la wapiga kura Wananchi wenyewe ndio watakaojuwa ni chama gani kitakacho wafaa

kuongoza nchi yao kiutawala. Mimi Msimamo wangu Nitakiunga Mkono chama kitacho pata ushindi wa halali wa kuongoza

nchi yetu sijali chama hicho kiwe ni Chama cha Chadema au CCM Au CUF Au Chama cha NCCR Mageuzi au chama

chochote kile kitakacho kuja kupata Ushindi wa Halali na kutuongoza nchi yetu. Huo ndio Msimamo wangu juu ya Siasa

zetu za Ki-Afrika. Mkuu Uso wa nyoka
 
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini
1 hawalalamiki ovyo
2 wanafahamu sheria za uchaguzi
3 hawana press release za kila dakika
4 havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5 kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6 uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7 matumizi mazuri ya ruzuku
8 viongozi wake ni wasomi na wenye vision
kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA
UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.

safii saaana!!!
 
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini
1 hawalalamiki ovyo
2 wanafahamu sheria za uchaguzi
3 hawana press release za kila dakika
4 havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5 kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6 uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7 matumizi mazuri ya ruzuku
8 viongozi wake ni wasomi na wenye vision
kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA
UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.

CHADEMA wanakuamsha saa kumi usiku kupost huu upuuzi? Wenzio wamelala wewe uko JF unapost -----! Pole sana, ukitulia itakuingia vizuri tena yote
 
CHADEMA wanakuamsha saa kumi usiku kupost huu upuuzi? Wenzio wamelala wewe uko JF unapost -----! Pole sana, ukitulia itakuingia vizuri tena yote

w r critical thinker ss sio level yako ww endelea kulala
 
w r critical thinker ss sio level yako ww endelea kulala

Critical thinker unaandika kama bata? "ss", "w r", "ww" ndio nini? Do you even know what does the word Critical thinking means? Pathetic!
 
Post of the Year, inatakiwa iwepo kwenye Tuzo za Thread bora mwakani, nawe mleta uzi utakuwa mleta hoja nzito chipukizi wa mwaka, kalaghabaho!
 
... HAWAGAWANI mILLIONI 400 za michango ya harusi!!
 
si unajua wenye asili ya chadema tabia yao wazushi waongo wazandiki fitina NK
 
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini

1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision

Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.

Nakubali lakini kwa kipimo hiko hiko cha UHOVYO CCM wanaizidi Chadema kwa UHOVYO kwa mbali sana!
 
Sijapata kuona mtu wa hovyo kama wewe, kulalamika kwa chama ambacho wala hapipo ulimwenguni CHADEA ndio chama cha wapi?
 
Back
Top Bottom