assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #141
hahahachagga development manifesto
hahahachagga development manifesto
chagga development manifesto
Huwa najiuliza "Hivi ikitokea watafiti wa IQ wakaja Tanzania na bahati mbaya utafiti wao wakaufanyia Lumumba na Ikulu na kuchukulia hiyo ndiyo IQ ya taifa zima je, tunaweza kuipata hata 30 kweli!
watu makini hawawezi kukubalika kwenye chama ovyo mfano kitilla,zitto,kafulila nk
Sijawahi kusoma article ya hovyo iliyoandikwa na mtu wa hovyo kama wewe mpenda chama cha majambazi.ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini
1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision
Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.
mbona mna mangwa na chama ovyo?chama ovyo kina chukua vijiji bila kupingwa?ajabu!Naijua hali yenu kwa sasa,mnahali mbaya ambayo haija wahi kushuhudiwa tangu Uhuru.mlizoea zidumu fikra.mambo yamegeuka ghafulaChadema ni genge la wahuni pale hakuna kiongozi hata mmoja ni genge fulani la watu walioanzisha mfumo wa maisha yao kwa mgongo wa siasa.
sikulaumu sana kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo huna hoja povu linakutoka kama unataka kufauelewa kwamba mwenyekiti ni cheo sio uchaga
Sio kujifariji, iweje sifa ziende kwa wasio washindani (cuf na nccr) wako na kwa mshindani ni dharau na kejeli? Hakuna ubishi upinzani umeanza kuonekana tanzania na ndio maana mwenye kuleta huo upinzani ni adui namba moja.acha kujifajiri
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini
1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision
Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.
Chadema ni genge la wahuni pale hakuna kiongozi hata mmoja ni genge fulani la watu walioanzisha mfumo wa maisha yao kwa mgongo wa siasa.
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini
1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision
Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.
Sio kujifariji, iweje sifa ziende kwa wasio washindani (cuf na nccr) wako na kwa mshindani ni dharau na kejeli? Hakuna ubishi upinzani umeanza kuonekana tanzania na ndio maana mwenye kuleta huo upinzani ni adui namba moja.