Sijapata kuona chama hovyo kama CHADEMA

CCM pia walipata hati yenye utata. Wanaoingamiza nchi si CHADEMA bali ni Maintarahamwe. Elimu imeanguka siyo siri. Mikataba mmeitia kwapani hamtaki kuiweka hadharani ili Watanzania tuisome kwa kina, mnahofia kuona madudu ambayo hayana maslahi kwa Watanzania bali maslahi kwa wahuni na wezi wachache ndani ya Serikali hii dhalimu na chama chenu cha wahuni. Mahospitali hakuna dawa, hazina hakuna pesa, waliosababisha yote haya si CHADEMA. Wimbi la ufisadi wa kutisha kuanzia EPA, Rada, Escrow, Meremeta, Kagoda, Utoroshwaji wa wanyama nchini, kunyang'anya Watanzania ardhi yao, ukosefu wa maji na umeme wa uhakika, ukosefu wa ajira. Anayehusika na madudu yote haya si CHADEMA bali ni chama chenu cha wahuni. Hebu tia akili kichwani ili uanze kuyastaajabia yale ambayo yanawaathiri Watanzania zaidi ya milioni 40 miaka nenda miaka rudi kwa kuongozwa na wahuni na wezi.

mkuu chama chako CAG ALIKIPA HATI YENYE UTATA
WATU WANAKOPESHA CHAMA KISHA RUZUKU INAHAMIA KWENYE ACCOUNT ZAO KWAN TASISI ZA FEDHA SI ZIPO
WATU WAMEJIKOOESHA MIL160 ZA RUZUKU WAKATI BENKI ZIPO
WATU WANAMAJUMBA SOUTH AFRICA DUBAI BILA HELA HILO NOT POSSIBLE
WEWE HUONI HUO NI UFISADI UNABWATA TU KAMA............
 
Mkuu assadsyria3 Mimi sipo chama chochote kile hapo nyumbani mimi ni M-Tanzania halisi ila nina kukosoa kidogo cha cha upinzani kukikosowa

chama kinacho tawala ndio Demokrasia yenyewe hiyo. Pasipo na kuwa na chama cha upinzani kukikosoa chama kinacho tawala hakutakuwa na Maendeleo katika nchi yetu. Kwa mfano Amerika kuna vyama viwili vikubwa Chama cha Rais Obama Chama cha Democratic Party, na chama

cha Upinzani chama cha Republican Party. Sasa kukiwa na kasoro kwenye chama tawala cha Rais Obama akikosea kitu anaye mkosoa ni chama cha Upinzani yaani chama cha Republican Party. Hiyo ndio Demokrasia ya ukweli na Maendeleo yanapatikana hapo pasipo na kukosoana kwa vyama hakuna maendeleo mkuu ninakuacha hapa kwa leo.

Mchumia Tumbo Huyo Mkuu Achana Naye! Anatimiza Kazi Yake
 
Uharo wa bata..

Chadema si chama chenye uwezo wa kubeba dhamana kiuongozi. Viongozi wake wa juu ni wanafiki, wabinafsi, wenye tamaa, wabaguzi walio na ndoto za kushika madaraka huku wakiwakandamiza walio chini.
Kimekaa kikanda na kitabaka, pamoja na kuvunga sana kwa kujaribu kukifanya kionekane cha Kitaifa. Chunguza hata majina yanayovuma sana Chadema, utagundua ni ya kanda fulani, tabaka la aina fulani na kwa mmoja mmoja ndio utasikia majina kutoka kwingine. Ni bora Nichague CUF kuliko chama hiki cha ajabu.
Slaa kila kukicha anauota urais, ina maana hakuna mwingine Chadema alie na uwezo na haki ya kuuota Urais huko Chadema kuliko huyo Mzee? Waweke Muislamu, Mkwere, Mmakonde, Mluguru, Mzaramo agombee Urais basi tuwaone wa maana. Jinsi wanavyoendesha mambo, it does'nt make sense kukiamini kuwa chama cha maana.
Chadema bado sana.
 
Chadema ni genge la
wahuni pale hakuna kiongozi hata mmoja ni genge fulani la watu
walioanzisha mfumo wa maisha yao kwa mgongo wa siasa.

Technically, Chadema ilikuwa Kampuni iiyokuja kuongezewa twist ya kisiasa ili iendelee kuthrive na kuwaongezea airtime wamiliki ili waendelee kuexist huku wakitumbua na kukuza kipato chao.
 
Sijapata ona chama kinachopenda wizi kama ccm, sio waliopo ikulu, lumumba hata wabunge wake wamekaa kiwiziwizi tu kama kina chenge.
 
Mimi sipo chama chochote kile hapo nyumbani mimi ni M-Tanzania halisi
ila nina kukosoa kidogo cha cha upinzani kukikosowa

chama kinacho tawala ndio Demokrasia yenyewe hiyo. Pasipo na kuwa na
chama cha upinzani kukikosoa chama kinacho tawala hakutakuwa na
Maendeleo katika nchi yetu.[FONT=Linux
Libertine]Democratic Party, na chama

cha Upinzani chama cha Republican Party. Sasa kukiwa na kasoro kwenye
chama tawala cha Rais Obama akikosea kitu anaye mkosoa ni chama cha
Upinzani yaani chama cha Republican Party. Hiyo ndio Demokrasia ya
ukweli na Maendeleo yanapatikana hapo pasipo na kukosoana kwa vyama
hakuna maendeleo mkuu ninakuacha hapa kwa
leo.[/FONT]

Mimi Nakuunga Mkono Mkuu kuwa vyama vya upinzani ni muhimu katika kukuza Demokrasia ila swala la Chadema kuitwa chama kinachoweza kutwaa madaraka ni swala Nitakalolipinga siku zote.
 
Technically, Chadema ilikuwa Kampuni iiyokuja kuongezewa twist ya kisiasa ili iendelee kuthrive na kuwaongezea airtime wamiliki ili waendelee kuexist huku wakitumbua na kukuza kipato chao.

Nadhani technically unawaongelea wale wanaokwapua raslimali zetu kwa kutumia nafasi zao za uongozi bila kujali cheo gani anacho.Pole siyo wakati wake wa kuendelea kutudanganya.

Wezi wakubwa ni CHAMA CHA MAJAMBAZI,wote pamoja na Mwenyekiti wao,wanatetea wizi na kuufanikisha kwa kiwango kikubwa ili tu kufadhili matumbo yao na CHAMA CHAO.
 
Mimi Nakuunga Mkono Mkuu kuwa vyama vya upinzani ni muhimu katika kukuza Demokrasia ila swala la Chadema kuitwa chama kinachoweza kutwaa madaraka ni swala Nitakalolipinga siku zote.

Unapinga sababu unafaidika na SYSTEM iliyopo.Ungekuwa unapenda mageuzi ungeweka wazi na kushauri ni namna gani vyama vya upinzani vitekeleze majukumu yake kwa maslahi ya TAIFA na siyo kuweka vibwagizo visivyo na maana.
 
Chadema si chama chenye uwezo wa kubeba dhamana kiuongozi. Viongozi wake wa juu ni wanafiki, wabinafsi, wenye tamaa, wabaguzi walio na ndoto za kushika madaraka huku wakiwakandamiza walio chini.
Kimekaa kikanda na kitabaka, pamoja na kuvunga sana kwa kujaribu kukifanya kionekane cha Kitaifa. Chunguza hata majina yanayovuma sana Chadema, utagundua ni ya kanda fulani, tabaka la aina fulani na kwa mmoja mmoja ndio utasikia majina kutoka kwingine. Ni bora Nichague CUF kuliko chama hiki cha ajabu.
Slaa kila kukicha anauota urais, ina maana hakuna mwingine Chadema alie na uwezo na haki ya kuuota Urais huko Chadema kuliko huyo Mzee? Waweke Muislamu, Mkwere, Mmakonde, Mluguru, Mzaramo agombee Urais basi tuwaone wa maana. Jinsi wanavyoendesha mambo, it does'nt make sense kukiamini kuwa chama cha maana.
Chadema bado sana.
ccm kimekaa kifisadi zaidi, hata majina yake yanakera, chenge, lowasa..
 
Anzisha chama chako basi halafu na wewe uwaweke wa DINI yakona UKANDA wako.CCM bwana kutwa kucha kuwananga wapinzani kumbe nyie wenyewe huko ndani bure kabisa,wezi wakubwa wamjazana na bado mnawapigia debe wawe marais.Halafu eti tuweke MKWERE mwingine kwenye URAIS hivi watazania hatujitaki au!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahahahaaaaa kazi mnayo aiseee, chama hovyo kama Chadema? Duh basi utakua mgonjwa maana huwezi anzisha thread ya kukisifia chama ambacho ni hovyo kama wewe sio hovyo
 
Sasa kama cha hovyo we unalialia nini?? Si ufurahie kwamba mtaendelea kutawala milele? Hii ni wazi kabisa kwamba CHADEMA inakunyima usingizi. ..pole sana hatuna namna ya kuwasaidia maana mmejiharibia wenyewe
 
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini1 hawalalamiki ovyo2 wanafahamu sheria za uchaguzi3 hawana press release za kila dakika4 havipendi fujo wala maandamano yasio na tija5 kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi6 uwepo wa demokrasia ndani ya vyama7 matumizi mazuri ya ruzuku8 viongozi wake ni wasomi na wenye visionkwa uchache ukiwaangalia CHADEMAUTAONA NI CHA HOVYO KABISA.
Sasa we rafiki yangu!hivi kuna chama cha ovyo kama chama kinachoongoza serikali isiyokusanya kodi?hivi mnashindwa kukusanya kodi mpaka mnalazimisha watu wachangie elfu 10 za maabara wakati kila kitu tunachonunua tunatoa kodi ya VAT?yani hapo mnakusanya kodi au MNAPOKONYA KODI?mnaacha kodi nyeupe kabisa kwenye A/C ya ESCROW halafu mnakuja kufukuzana na kodi za jero jero mitaani.kuna chama ovyo kama chama ambacho watu 2 wanagawana bilioni 3?halafu unaacha kazi zako unakuja kuandika andika tu hapa JF,c bora ukaandae mashamba kijijini kwenu ili litimie neno la bwana alipowaambia Adamu na Hawa kuwa "mtakula kutoka makondeni".
 
Back
Top Bottom