assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #121
chama cha deal za machame
chagadema
chama cha deal za machame
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini
1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision
Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.
uelewa kwamba mwenyekiti ni cheo sio uchaga
unawakana viongozi wako wa sacos
Makubwa hayaBuku 7 ndizo zinakufanya ujitoe ufahamu kiasi hiki? Angalia utawolewa kwa kuendekeza kwako njaa!
hujaelewa uzi wangu
60% ya tanzania ni wasukuma na wahaya lakin mnapt order toka kibosho. bora shibuda kajitambua
chama cha deal za machame