Sijapata kuona chama hovyo kama CHADEMA

Sijapata kuona chama hovyo kama CHADEMA

Mimi Nakuunga Mkono Mkuu kuwa vyama vya upinzani ni muhimu katika kukuza Demokrasia ila swala la Chadema kuitwa chama kinachoweza kutwaa madaraka ni swala Nitakalolipinga siku zote.

Kutwaa madaraka wanaweza ila sio Leo na sio kwa viongoz Hawa waliopo mimi Kwa dhati cjaona mtu anayeweza kuwa rias chadema Kwa sasa labda nzito Kwa baadaye urais hautaki jazba kama za lissu
 
Kutwaa madaraka wanaweza ila sio Leo na sio kwa viongoz Hawa waliopo mimi Kwa dhati cjaona mtu anayeweza kuwa rias chadema Kwa sasa labda nzito Kwa baadaye urais hautaki jazba kama za lissu

well said
 
cuf wanaserkali ya umoja wa kitaifa
nccr mageuzi mh mbatia ni msomi anaweledi adi rais kumteua kua mbunge

Ndio maana hawakemei uovu na rafu mnzochezea chadema maana wao ni wamefanywa sehemu yenu!!!! Ila hata msemeje tunakomaa na ninyi hadi tumedelete kabisa. Haya makelele humtoka aliyekamatwa sawasawa!!!! mtakaa tu!!
 
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini

1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision

Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.

Kama wewe ulivyo hovyo kabisa.
 
Chadema si chama chenye uwezo wa kubeba dhamana kiuongozi. Viongozi wake wa juu ni wanafiki, wabinafsi, wenye tamaa, wabaguzi walio na ndoto za kushika madaraka huku wakiwakandamiza walio chini.
Kimekaa kikanda na kitabaka, pamoja na kuvunga sana kwa kujaribu kukifanya kionekane cha Kitaifa. Chunguza hata majina yanayovuma sana Chadema, utagundua ni ya kanda fulani, tabaka la aina fulani na kwa mmoja mmoja ndio utasikia majina kutoka kwingine. Ni bora Nichague CUF kuliko chama hiki cha ajabu.
Slaa kila kukicha anauota urais, ina maana hakuna mwingine Chadema alie na uwezo na haki ya kuuota Urais huko Chadema kuliko huyo Mzee? Waweke Muislamu, Mkwere, Mmakonde, Mluguru, Mzaramo agombee Urais basi tuwaone wa maana. Jinsi wanavyoendesha mambo, it does'nt make sense kukiamini kuwa chama cha maana.
Chadema bado sana.

Hebu tupatie matokeo ya mechi za jana UEFA.
 
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini

1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision

Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.

Kukosa akili bora ukose nguo
 
Vipi wanaochuku hela za miradi ya wananchi wanaweka mifukoni hao chama chao kikoje? Tumesikia kuchotwa kwa mabilion ya miradi ya umeme. kwa hiyo hicho chama ndo kipo safi? Tunasikia mtu mmoja amejifanya kuwa yeye ni JUA anazunguka dunia kwa kutumia hela za wananchi vipi chama chake kiko safi. Tumesikia tena hela za kuwalipa MSD zimeingizwa kwenye chaguzi za serikali za mitaa kupitia chama chenu na hii ni sawa. msiwe mnaongea mambo hambayo kwa sasa c hoja kwa wananchi wananchi wanahitaji maisha bora kupitia serikali iliyop madarakan na wala si CHADEMA.

Hizi ni hoja za mfa maji.
mkuu chama chako CAG ALIKIPA HATI YENYE UTATA
WATU WANAKOPESHA CHAMA KISHA RUZUKU INAHAMIA KWENYE ACCOUNT ZAO KWAN TASISI ZA FEDHA SI ZIPO
WATU WAMEJIKOOESHA MIL160 ZA RUZUKU WAKATI BENKI ZIPO
WATU WANAMAJUMBA SOUTH AFRICA DUBAI BILA HELA HILO NOT POSSIBLE
WEWE HUONI HUO NI UFISADI UNABWATA TU KAMA............
 
Chadema ni genge la wahuni pale hakuna kiongozi hata mmoja ni genge fulani la watu walioanzisha mfumo wa maisha yao kwa mgongo wa siasa.
dalili za kushindwa, ukiona mambo kama haya ujue ccm inaanza kufutika katika midani ya siasa.
 
Chadema ni genge la wahuni pale hakuna kiongozi hata mmoja ni genge fulani la watu walioanzisha mfumo wa maisha yao kwa mgongo wa siasa.

Na hizi ndio dalili specific za waathirika wa nguvu za CHADEMA. Mko wengi angalia thread yako utajua ni akina nani wenzio. Baada ya Jumapili mtakuja na matusi humu kuthibitisha kuchanyanyikiwa
 
mwenyekiti mkibosho
wakurugenz wengi wakibosho
nashangaa mkwere unataka saccos isiokuhusu
 
Back
Top Bottom