Sijapata kuona chama hovyo kama CHADEMA

Sijapata kuona chama hovyo kama CHADEMA

If beauty is in the eyes of the beholder by the same logic, Ugliness is in the mind of the beholder, kwa hiyo Uhovyo wa CDM uko kwenye ubongo Wako wa HOVYOHOVYO wala sio CHADEMA.bs

bora uandike kiswhili unajiaibisha
 
Nasikia umekata kumaliza dozi za milembe,kamalize dozi kwanza ndio ujalibu kujenga hoja tena
 
Jamani hivi chadema mbona siyokama nivyo kuwa naidhania lakini nimeshangazwa na hili kigoma imeangushwa na AST kwanini
 
Hizo ulizotaja hapo juu ni dalili za chama kuanza kujifahamu zaidi, kukua na kukomaa. Kama ni chama hovyo, chama "makini" cha sisiemu kisingekuwa na presha kila kikisikia chadema.
Pole sana. Ukitaka kujua CHADEMA kilivyo makini waulize MAFISI-EMU!
 
Mbowe anaijua noti kabla hujazaliwa,sembuse nyie na akina mwigulu mnaotaka kutajirikia ccm
 
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini

1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision

Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.

Tunaomba urejee hili andiko lako na useme tena kama utafiti na mtazamo wako bado uko hivi hata baada ya haya ya jana? Kwa maana kuwa Wa-TZ ni wendawazimu kukipa ushindi chama cha hovyo?
 
Ccm ufisadi mtupu tambua mengi umeyatambua kupitia upinzani sidhani isingekuwa kelele za upinzani hata ungejua nchi hii inaliwa na wachache tafakari kijana kelele za upinzani ndio zinaleta maendeleo
 
Back
Top Bottom