ufisadi hairuhusiwi popote
Hujui hata hizo buku unazolipwa zimepatikana kifisadi? Baada ya epa kuisha sasa unalipwa za escrow! Kmanna ww!
ufisadi hairuhusiwi popote
Huna hoja,kwani uliowataja sio watz? Wana haki sawa na mimi msukuma katika taifa letu na ndiyo maana nawakubali.VIVA CHADEMA,TUMAINI LA WANYONGE NA WAPENDA HAKI.
ni kweli, ccm bila rushwa mambo hayaendi.
Uharo kama huu hamna sababu ya kupoteza muda kuujadili
Hili jamvi limevamiwa siku hizi. Yaani mtu bila aibu unasema ili chadema waonekane wa maana wanatakiwa waweke Muislamu, Mkwere, Mmakonde, Mluguru au Mzaramo agombee Urais! Kwani hao uliowataja ndio watz zaidi ya wengine? Yaani toka ccm ianze kuwalipa watu kuja kuvuruga mijadala mitandaoni Jamiiforums imeingiliwa, kuna watu wana upeo mdogo sana wa kufikiri, mawazo yao hayana msaada ktk kujenga jamii inayotakiwa kuendelea.Chadema si chama chenye uwezo wa kubeba dhamana kiuongozi. Viongozi wake wa juu ni wanafiki, wabinafsi, wenye tamaa, wabaguzi walio na ndoto za kushika madaraka huku wakiwakandamiza walio chini.
Kimekaa kikanda na kitabaka, pamoja na kuvunga sana kwa kujaribu kukifanya kionekane cha Kitaifa. Chunguza hata majina yanayovuma sana Chadema, utagundua ni ya kanda fulani, tabaka la aina fulani na kwa mmoja mmoja ndio utasikia majina kutoka kwingine. Ni bora Nichague CUF kuliko chama hiki cha ajabu.
Slaa kila kukicha anauota urais, ina maana hakuna mwingine Chadema alie na uwezo na haki ya kuuota Urais huko Chadema kuliko huyo Mzee? Waweke Muislamu, Mkwere, Mmakonde, Mluguru, Mzaramo agombee Urais basi tuwaone wa maana. Jinsi wanavyoendesha mambo, it does'nt make sense kukiamini kuwa chama cha maana.
Chadema bado sana.
unamjua padri slaa na mchungaji msigwa?unamjua lymo lema mbowe ndesamburo mdee mnyika
si unajua wenye asili ya chadema tabia yao wazushi waongo wazandiki fitina NK
ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini
1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision
Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.
Chadema ni genge la wahuni pale hakuna kiongozi hata mmoja ni genge fulani la watu walioanzisha mfumo wa maisha yao kwa mgongo wa siasa.
Watu makini hawawezi kukubalika kwenye chama ovyo mfano kitilla,zitto,kafulila nk
Ukifanya biashara huwezi msifia mshindani wako ila unaweza kusifia wanaofanya vibaya.ASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini
1. Hawalalamiki ovyo
2. Wanafahamu sheria za uchaguzi
3. Hawana press release za kila dakika
4. Havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5. Kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6. Uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7. Matumizi mazuri ya ruzuku
8. Viongozi wake ni wasomi na wenye vision
Kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.
Watu makini hawawezi kukubalika kwenye chama ovyo mfano kitilla,zitto,kafulila nk
Ukifanya biashara huwezi msifia mshindani wako ila unaweza kusifia wanaofanya vibaya.
unapenda kumsifia zito amekupa nini
Siwajui,ila nawafahamu.Kama unawajua heri yako.