Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,124
Swadakta lakini baada ya kumkosoa katika vikao na kumuwajibisha kama dawa harambeeee lazima iimbwe.Akikosolewa wa kwenu nyie huwa mnaimba na kushangilia? Tunatetea tunachokiamini
Swadakta lakini baada ya kumkosoa katika vikao na kumuwajibisha kama dawa harambeeee lazima iimbwe.Akikosolewa wa kwenu nyie huwa mnaimba na kushangilia? Tunatetea tunachokiamini
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Kama kweli Dr.W.Slaa kakopa hata kama n sh 100000 sisapoti hilo jambo naomba atueleze;
na sie wanachama wengine huku mtwra na mahala pengne kama tunaweza kopa na zipi taratibu za kufuata ukitaka kukopa kwenye chama?
Nikiwa kama mwanachama wa chadema nimesikitishwa na suala hili.. Mikoa inakosa ruzuku
ufafanuzi
cc Tumaini Makene, Molemo
Nenda kwa Utoh utaikuta,Chadema tumegundua wanajifanya kuwa na mikutano isiyoisha nje ya ofisi ili kukimbia ukaguzi wa fedha za ruzuku na chaguzi za ndani.wewe gamba mpunga pepo, toka lini umekuwa na uchungu na CHADEMA kama sio unafiki na uzandiki tu?! Nitajie matumizi ya ruzuku yenu kama hutambwera hapa.
watu hawataki mabwana zao wakosolewe,hamuwezi kumfanya huyu dikteta awe kiongozi wa watu,hajaanza ufisadi leo,alianzia kwenye kufisadi pesa za kanisa mpaka akaondolewa ktk nafasi aliyokua nayo,pia alifisadi project ya kuwasaidiwa wenye uoni hafifukule kilombero mwaka 1992,na kila unapoonyesha weakness zake yuko tayari hata kuua.tanzania inahitaji mabadiliko ila si kumeka huyu mzinzi,wapo aki na pro.lipumba wanaoheshimiwa na dunia nzima,pia wapo aki na zitto ambao wamekua wakiisimamia serikali,sio siasa za majungu,ukabila na udini,zimepitwa na wakati mbowe ni kichwa maji na ndo mana hajui hata alitendalo,because hana hata cv mtandaoni.
Nenda kwa Utoh utaikuta,Chadema tumegundua wanajifanya kuwa na mikutano isiyoisha nje ya ofisi ili kukimbia ukaguzi wa fedha za ruzuku na chaguzi za ndani.
Padri mwenye watoto.Utamwamini kweli!huyu kiumbe,hafai hata kuishi
Gesi inaondoka mtwara ishachukuliwa na mafisadi. Tembo zaidi ya 60 wanakufa kila saa, madawa hakuna hospital, umeme siobwa uhakika. Vipi kijana unajadili masuala yasio na manufaa kwa nchi yako na kuacha hayo hayana jibu? Dai haki yako vinginevyo na wewe ni walewale mafisadi so hutuambii kitu.
Hivi moja ya matumizi ya ruzuku za vyama siasa ni kujikopesha kwa matumizi binafsi?
CC Tendwa,Utoh
suala hapa kachukua au kajikopesha kinyemela pesa za walipakodi milioni 140.kwa matumizi binafsi halafu anageuka na kusema,'nimechukua million 20 tu.
Mkuu kwan taarifa rasmi toka ndani ya chama zinasemaje???
Acha mkwara wewe mlimbwendenyie wagonjwa kweli, yani kukopa mnaifanya ishu ya kudiscuss?
Jiangalieni sana, umma una hasira sana na watu wa aina yenu