Sijamwamini SLAA..

Sijamwamini SLAA..

Remote ukinithibitishia wewe ni mwanachama wa Chadema mimi nitatupa kadi yangu sasa hivi.

Siwezi kuwa kwenye chama ambacho wewe ni mwanachama wake mtu unayekesha kwenye mitandao kutukana na kukashifu viongozi wa Chadema.

Cc Shardcole
Remote wenye chama chao hawakutambui unang'ang'ania nini?
 
utambiwa masalia au umetumwa na nape, sijui kwann cdm hawapendi kukosolewa...

Potezea tu wakikutukana kwani pengine walikosa malezi ya wazazi wakiwa watoto.

Tanzania haitajengwa na watu wenye mawazo mgando vyovyote wawavyo, wawe CDM au CCM au chama chocote kiwacho.

Tunahitaji kuwa wakweli na sio na kuwa na double standards.i.e Freshthinking!
 
Padri mwenye watoto.Utamwamini kweli!huyu kiumbe,hafai hata kuishi

Ni sheria ipo ya kanisa inazuia Padre asiwe na mtoto ? Na kanisa katoliki lasema nini ikiwa Padre ana mtoto? Na kitooa ni amri ama nidhamu tu ya kanisa. Nijibu tafadhali
 
Kwani wewe nani anakuamini ukiachia mbali kutojiamini? Go tell it to the birds mwanangu joe5. Si lazima umwamini wewe wala yeyote isipokuwa sheria.
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
 
Gesi inaondoka mtwara ishachukuliwa na mafisadi. Tembo zaidi ya 60 wanakufa kila saa, madawa hakuna hospital, umeme siobwa uhakika. Vipi kijana unajadili masuala yasio na manufaa kwa nchi yako na kuacha hayo hayana jibu? Dai haki yako vinginevyo na wewe ni walewale mafisadi so hutuambii kitu.

Hebu waeleze hawa wapuuzi wanaokuja hapa kupigia kelele mil 140 ambazo wanadai zilikopwa
 
Finished! Hopeless kabisa. Utakuwa wapi sasa huo utawala bora? Kumbe wanaopigania M4C wanataka kujinufaisha wao binafsi kwanza?

we masalia acha upimbi wa kuropoka, toka Ben awapige na kitu chenye ncha kali mmebakia mkirandaranda kama chokoraa.
 
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Ndugu yangu joe5, kipi bora kati ya kujikopesha na KUIBA/KUFISADI? Mimi nadhani kama amejikpesha hilo ni jambo jema kwani atarudisha kuliko angeiba au kufisadi.

Pia ili kusiwe na double standard CDM waanzishe SACCOS kwa ajili ya staff wake tu ili kukabiliana na ukata wa maisha.

Hilo litapunguza rushwa au vitamaa vya hapa na pale kwani kila mtu anataka kiwanja au nyumba, gari na watoto wasome vizuri. Kukiwa na mikopo yenye riba nafuu ya nyumba, magari, elimu n.k itapunguza rushwa ya njaa.

Queen Esther
 
Leo wanachota hela za Ruzuku, hela ambayo kazi yake ni kukijenga chama na sio kujenga viongozi.
Niliishasema sana hapa toka mwanzo chadema ni kikundi cha wapiga deals
CHAma cha DEals na MAgumashi = CHADEMA au kwa tafsiri nyingine ni CHAGA DEAL MAKERS
Hapo watu wanapiga deals tu kwa kutumia matatizo ya wananchi kama cover. si muda mrefu wataanza kuumbuka

wewe mbeba box unajua nini kuhusu CHADEMA kama sio njaa tu zinakusumbua huko ukimbizini.
 
Remote ukinithibitishia wewe ni mwanachama wa Chadema mimi nitatupa kadi yangu sasa hivi.

Siwezi kuwa kwenye chama ambacho wewe ni mwanachama wake mtu unayekesha kwenye mitandao kutukana na kukashifu viongozi wa Chadema.

Cc Shardcole

Mkuu hawa vijana wa lumumba tutaendelea kuwapa vitu vizito mpaka kieleweke.
 
Last edited by a moderator:
wewe mbeba box unajua nini kuhusu CHADEMA kama sio njaa tu zinakusumbua huko ukimbizini.
Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnaanza kutokwa mapovu na kutoa mitusi, hiki chama kwa kweli ni janga la taifa
 
we masalia acha upimbi wa kuropoka, toka Ben awapige na kitu chenye ncha kali mmebakia mkirandaranda kama chokoraa.

Bro jimulike kwanza kabla ya kusema. Ni ushauri tu ambao nafikiri mtu mzima kama wewe unaweza kuufanyia kazi.

Tanzania haitajengwa na watu wenye mawazo mgando. Tunahitaji mtazamo uliopevuka wa kusema ukweli bila kujali ni nani atakayeumia kwa ukweli huo. Hakuna checks and balances ndani ya CHADEMA.
 
utambiwa masalia au umetumwa na nape, sijui kwann cdm hawapendi kukosolewa...

Kwani ni lazima kuikosoa CHADEMA ? Kwanza hamna hoja zaidi ya majungu na ugoro tu wa lumumba nyie magamba.
 
Na bado mwaka huu kila kitu hadharani,TUNTEMEKE anafanya final touch aje na B52 a.k.a bunker buster

TUNTEMEKE zimeshabaki stori tu, muulize atakwambia kwamba lile bomu la Ben lilikuwa ni zaidi atomic na sasa wamebakia kuwa member wa kawaida tu yani zile nondo zote kwisha siku hizi zaidi ya kutumia magazeti tu.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnaanza kutokwa mapovu na kutoa mitusi, hiki chama kwa kweli ni janga la taifa

kaa kimya we mkimbizi huna hoja na badili yake we endelea kubeba box tu huko ukimbizini.
 
Bro jimulike kwanza kabla ya kusema. Ni ushauri tu ambao nafikiri mtu mzima kama wewe unaweza kuufanyia kazi.

Tanzania haitajengwa na watu wenye mawazo mgando. Tunahitaji mtazamo uliopevuka wa kusema ukweli bila kujali ni nani atakayeumia kwa ukweli huo. Hakuna checks and balances ndani ya CHADEMA.

wewe salia hizo ngonjera za kijuha kwaambie mapimbi wenzako wakina mtela.
 
Padri mwenye watoto.Utamwamini kweli!huyu kiumbe,hafai hata kuishi

Nawashangaa wale wanaomtaka agombee uraisi, Mikshfa yote hiyo
Mzee wa kulamba ruzuku
Mzee wa kuchumbia ......ke. za watu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Kama nakumbuka vizuri ni kuwa watumishi wa cdm makao makuu hawana social security kutokana na wote kujitolea. Kwa hyo kuwa na revolving fund sio ajabu kwa sabab ccm kwa mara ya mwisho revolving ilikuwa kama mil 800 kwa mujib wa CAG. Sasa dr slaa kukopa ni dhambi, nikajua labda kaiba
 
Back
Top Bottom