Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

Ahsante kwa shukrani mkuu Pasco.

Vipi kwa maoni yako unashauri sasa Mnyika awe Naibu Katibu Mkuu na Prof.Baregu awe Makamu Mkiti nafasi zilizo wazi kwa sasa?
Mkuu Molemo, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, kwa upande wa kichwa, JJ.Mbyika ni kichwa kuliko ZZK na kikubwa alichomzidi sana ZZK ni busara!. Kamwe huwezi kumsikia JJ Mnyika akicomment mambo yoyote ya kipuuzi!, yuko makini sana!, nahisi ndio maana amewagomea kulisoma yeye hili tamko la Kamati Kuu, mkamuachia huyo "kimbembele wenu" akijidhania ni "mmoja wao!". JJ Mnyika hawezi kuvaa viatu vya ZZK smply because hata JJ ni "Akili Kubwa!". Chadema itaimarika tuu pale ambapo wana Chadema Makini, mtakubali "kuna matatizo kule juu!". Hili JJ Mnyika naamini analijua, ila kwa ajili ya "collective resiponsibilities" analazimika kujinyamazia!.

Prof. Beregu yeye ni "spent force!" with everthing to gain and nothing to loose!, ataendelea kuyafumbia macho hayo "matatizo huko juu!".

Japo sio mmoja wenu, anayefaa kupanda hapo juu kwa sasa ni Prof. Safari, ili pia awawezeshe kulivua "lile koti!".

Taarifa zilipovuja, nilidhani ni uthibitisho wa "ule uchunguzi!", nilipokuja kulisoma tamko, nikakuta "hamna kitu!", "nothing!", "nil!". Hoja zilizowekwa kwenye tamko zote ni valid!, zile hoja za Mngamba nazo pia "they are all valid!", "Chadema haiwezi kufika mbali kwa kukimbia kivuli chake!, au kwa "kufunika kombe" "mwanaharamu apite!", huko ndani kwa ndani kuna uozo!. Dawa ya jipu ni kulitumbua!, sio kulifunika lisionekane kwa kuwatimua "wanaosema kuna jipu!".
Pasco.
 
CCM wanahaha lakini wapi,CDM ndo kila kitu mazee wao magamba yameishia viunoni lakini huku kwetu unafanya upuuzi tunainama kwenye katiba tunaona inasemaje tunachukua hatua ...CDM haina mtu fulani bali ina viongozi na wanachama na wote ni sawa

Nimeipenda bure hii sentensi inayosema "tunainama kwenye katiba tunaona inasemaje tunachukua hatua" Safi sana
 
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.

Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake na kuendelea kusisitiza kwamba Chadema itaendelea kuwa moja na Imara zaidi.

Source:Mwananchi Breaking News

Watatunga sana uongo mwaka huu lakini hawatofanikiwa. Bahati mbaya kwao maccm ni kwamba tunazidi kuwabaini wasaliti na kuwashughulikia.

Na utabiri wao wa Chadema kufa kabla ya 2014 unazidi kuyeyeyuka na kifo chao kinakuwa hakiepukiki mwaka 2015.
 
Mkuu Molemo, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, kwa upande wa kichwa, JJ.Mbyika ni kichwa kuliko ZZK na kikubwa alichomzidi sana ZZK ni busara!. Kamwe huwezi kumsikia JJ Mnyika akicomment mambo yoyote ya kipuuzi!, yuko makini sana!, nahisi ndio maana amewagomea kulisoma yeye hili tamko la Kamati Kuu, mkamuachia huyo "kimbembele wenu" akijidhania ni "mmoja wao!". JJ Mnyika hawezi kuvaa viatu vya ZZK smply because hata JJ ni "Akili Kubwa!". Chadema itaimarika tuu pale ambapo wana Chadema Makini, mtakubali "kuna matatizo kule juu!". Hili JJ Mnyika naamini analijua, ila kwa ajili ya "collective resiponsibilities" analazimika kujinyamazia!.

Prof. Beregu yeye ni "spent force!" with everthing to gain and nothing to loose!, ataendelea kuyafumbia macho hayo "matatizo huko juu!".

Japo sio mmoja wenu, anayefaa kupanda hapo juu kwa sasa ni Prof. Safari, ili pia awawezeshe kulivua "lile koti!".

Taarifa zilipovuja, nilidhani ni uthibitisho wa "ule uchunguzi!", nilipokuja kulisoma tamko, nikakuta "hamna kitu!", "nothing!", "nil!". Hoja zilizowekwa kwenye tamko zote ni valid!, zile hoja za Mngamba nazo pia "they are all valid!", "Chadema haiwezi kufika mbali kwa kukimbia kivuli chake!, au kwa "kufunika kombe" "mwanaharamu apite!", huko ndani kwa ndani kuna uozo!. Dawa ya jipu ni kulitumbua!, sio kulifunika lisionekane kwa kuwatimua "wanaosema kuna jipu!".
Pasco.

Kimbelembele cha aliyesoma Tamko ni kama kile cha Petro ulipojengwa Mwamba.Yuda historia yake ni kwenye Kitanzi

Hata hivyo,Mafarisayo kama ulivyo umekua sehemu ya historia katika andiko lako hili

Hapo kwa Prof.Safari sijui umepewa ushauri na nani au ulisoma mahali.Mko sahihi hapo
 
wajinga wengi shida nyingi, wapumbavu wengi matatizo zaidi, wafitina wengi uhasama mkubwa, lakini wasaliti wengi uadui mkubwa, CDM piga mwendo
 
Mkuu Molemo, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, kwa upande wa kichwa, JJ.Mbyika ni kichwa kuliko ZZK na kikubwa alichomzidi sana ZZK ni busara!. Kamwe huwezi kumsikia JJ Mnyika akicomment mambo yoyote ya kipuuzi!, yuko makini sana!, nahisi ndio maana amewagomea kulisoma yeye hili tamko la Kamati Kuu, mkamuachia huyo "kimbembele wenu" akijidhania ni "mmoja wao!". JJ Mnyika hawezi kuvaa viatu vya ZZK smply because hata JJ ni "Akili Kubwa!". Chadema itaimarika tuu pale ambapo wana Chadema Makini, mtakubali "kuna matatizo kule juu!". Hili JJ Mnyika naamini analijua, ila kwa ajili ya "collective resiponsibilities" analazimika kujinyamazia!.

Prof. Beregu yeye ni "spent force!" with everthing to gain and nothing to loose!, ataendelea kuyafumbia macho hayo "matatizo huko juu!".

Japo sio mmoja wenu, anayefaa kupanda hapo juu kwa sasa ni Prof. Safari, ili pia awawezeshe kulivua "lile koti!".

Taarifa zilipovuja, nilidhani ni uthibitisho wa "ule uchunguzi!", nilipokuja kulisoma tamko, nikakuta "hamna kitu!", "nothing!", "nil!". Hoja zilizowekwa kwenye tamko zote ni valid!, zile hoja za Mngamba nazo pia "they are all valid!", "Chadema haiwezi kufika mbali kwa kukimbia kivuli chake!, au kwa "kufunika kombe" "mwanaharamu apite!", huko ndani kwa ndani kuna uozo!. Dawa ya jipu ni kulitumbua!, sio kulifunika lisionekane kwa kuwatimua "wanaosema kuna jipu!".
Pasco.

Mkuu Pasco kusema ukweli kwa sasa Chadema ni lazima iongozwe na Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa.Nikutoe tu hofu kwamba angalau kwa miaka mitano ijayo wanachama kamwe hawatakubali kuongozwa na mtu mwingine...
 
Last edited by a moderator:
Mwananchi breaking news??? kama ni kweli kibaraka wa CCM anayemsema ni nani kama siyo yeye aliyeteuliwa na MWENYEKITI WA CCM kuingia tume ya Katiba?
Mwenyekiti wa CCM hachagui wajumbe wa Tume ya Katiba. Hawa wanateuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz. Hii ni ngumu kuielewa jamani?
 
Mkuu Molemo, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, kwa upande wa kichwa, JJ.Mbyika ni kichwa kuliko ZZK na kikubwa alichomzidi sana ZZK ni busara!. Kamwe huwezi kumsikia JJ Mnyika akicomment mambo yoyote ya kipuuzi!, yuko makini sana!, nahisi ndio maana amewagomea kulisoma yeye hili tamko la Kamati Kuu, mkamuachia huyo "kimbembele wenu" akijidhania ni "mmoja wao!". JJ Mnyika hawezi kuvaa viatu vya ZZK smply because hata JJ ni "Akili Kubwa!". Chadema itaimarika tuu pale ambapo wana Chadema Makini, mtakubali "kuna matatizo kule juu!". Hili JJ Mnyika naamini analijua, ila kwa ajili ya "collective resiponsibilities" analazimika kujinyamazia!.

Prof. Beregu yeye ni "spent force!" with everthing to gain and nothing to loose!, ataendelea kuyafumbia macho hayo "matatizo huko juu!".

Japo sio mmoja wenu, anayefaa kupanda hapo juu kwa sasa ni Prof. Safari, ili pia awawezeshe kulivua "lile koti!".

Taarifa zilipovuja, nilidhani ni uthibitisho wa "ule uchunguzi!", nilipokuja kulisoma tamko, nikakuta "hamna kitu!", "nothing!", "nil!". Hoja zilizowekwa kwenye tamko zote ni valid!, zile hoja za Mngamba nazo pia "they are all valid!", "Chadema haiwezi kufika mbali kwa kukimbia kivuli chake!, au kwa "kufunika kombe" "mwanaharamu apite!", huko ndani kwa ndani kuna uozo!. Dawa ya jipu ni kulitumbua!, sio kulifunika lisionekane kwa kuwatimua "wanaosema kuna jipu!".
Pasco.

hakiyamungu kweli Nyani haoni kundule, CDM kuna uozo na si CCM tena?! dah! wabakaji wanafunzi nao wanasema!? eneway, ok.
 
Bahati mbaya sana Pasco huwa unadhani una akili nyingi kuliko unaowaandikia,

Unayemsema kimbelembele Lissu sidhani kama hata viatu vyake vitakutosha,

Nakushauri wewe endelea na upambe wa Mamvi labda utapata angalau bahasha ya chai, ya Chadema yaache kwa wanaChadema, huyajui na usitegemee kuyajua tena nikizingatia rafiki yako aliyekuwa anawapa habari za ndani hatunaye tena.
 
Last edited by a moderator:
MACCM yako busy kuzusha uongo wa kila aina ili kuuhusisha uongo wao na maamuzi ya Viongozi wa juu wa CHADEMA. MACCM yameshikwa pabaya sana yanaweweseka kupita kiasi.

Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.

Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake na kuendelea kusisitiza kwamba Chadema itaendelea kuwa moja na Imara zaidi.

Source:Mwananchi Breaking News
 
Mkuu Pasco kusema ukweli kwa sasa Chadema ni lazima iongozwe na Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa.Nikutoe tu hofu kwamba angalau kwa miaka mitano ijayo wanachama kamwe hawatakubali kuongozwa na mtu mwingine...
Mkuu Molemo, sina tatizo na hili, tatizo langu dogo ni tofauti za uoni vs ukweli halisi!.
Kuna wakati nyumba ikipata mitikisiko, ikapata ufa, dawa ya kuuimarisha ni ama kuziba ufa ili usijenge ukuta, au sometimes ni kuibomoa na kuijenga upya, hivyo in that sense, kuziba na kubomoa zote zikawa ni kujenga!.

Uoni (point of view) ya Wanachadema wengi ni blured vision!, hawaoni kama huko juu kuna matatizo!. Kwa kutoyaina matatizo hayo, mnajiaminisha "manahodha wanaliendesha vizuri jahazi", na watawafikisha salama kwenye "destination 2015!". Sisi ambao hatumo humo ndani ya jahazi, ndio tunauona mwelekeo wa jahazi lenu!, linakwenda mrama, kama hamtakubali sio lazima kubadili manahodha, bali kubadili mwelekeo, ili kufika destination 2015 salama!. Kwa vile kosa ni la manahodha, ambao nao wako ndani ya jahazi, hawaoni kama wanakwenda mrama!, abiria nao hawajui kuwa wanapelekwa mrama!, atakayejitolea kuwa na kadira binafsi, anapotoa tahadhari kuwa "tunakwenda mrama!", "nahodha anatoa amri, atoswe baharini!" na abiria mnashangilia!.

Determinant ya usahihi wa manahodha wenu ni "the end justify the means", sisi wa pembeni tunaona kuwa hamfiki!, mnang'ang'ania mtafika!, tusiendelee kuandikia mate, 2015 itafika, kuna watakao lia na watakao cheka!, atakae lia mwisho ndio atalia sana, na atakae cheka mwisho ndio atakaye cheka sana, japo "kulia na kucheka zote ni kelele!".

Muda huo utakapofika, nitawakumbusha humu humu, tuliwaambia nini!.

Uwezo wa binadamu kufanya mambo pia ni limited kama uwezo wa uongozi!, solution ikiishafikia the point of saturation, inakuwa ni saturated solution, and it can take more than what it can!. Hao uliowataja, wamefanya kazi nzuri, ila wamefikia optimum point ya uwezo wao!, they can do no more than what they did!. Yule daktari wa Mwembe Yanga, tuyliyemtumainia siku zile, siye huyu aliye bize na "honeymoon" isiyoisha, huku aki baby sit kile kichanga kinachomuita "baba babu", kwa ngoma ya 2015 hawezi tena!, labda Kamanda kijana!.

All and all, tunasubiria, tukishuhudia, huku tukiwaeleza wazi!.
Pasco.
 
Mwenyekiti wa CCM hachagui wajumbe wa Tume ya Katiba. Hawa wanateuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz. Hii ni ngumu kuielewa jamani?

itawachukua miaka mingi sana hawa kuelewa tofauti ya chama cha siasa na serikali. Huu ugonjwa ulikuwa mkubwa sana serikalini siku za nyuma kabla ya CDM haijaanza kusambasa elimu ya uraia. kulikuwa na kundi kubwa sana la watumishi wa serikali kudhani kuwa eti ile tu kuwa mtumishi wa serikali basi (ni lazima) unakuwa mwana-ccm. ni udhaifu uliojengwa na mfumo wa muda mrefu wa chama kushika hatamu na siasa za ujamaa na kujitegemea. ndiyo maana watu wanabaka hata wanafunzi na hawachukiliwi hatua yoyote. tunashukuru sana mabadiliko ya mifumo ya kisiasa na kiuchumi duniani iliyolazimisha nchi za kiafrika kuachana na udikteta wa chama kimoja na kuleta ushindani wa kisiasa ili wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, kupanga na kuchagua ndo waongoze wenye uwezo mdogo. soon hiyo itakuwa kweli hata hapa Tanzania. wenye akili ndogo wanaofikiria TU rushwa, kuiba mali za uma, kuuza madawa ya kulevya na ujangili wa nyara za taifa watakaa pembeni na wazalendo watatamaliki. viva Mkuki wa Taifa. VIVA CDM.
 
Back
Top Bottom