LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.
Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake na kuendelea kusisitiza kwamba Chadema itaendelea kuwa moja na Imara zaidi.
Source:Mwananchi Breaking News
Mkuu Molemo, sina tatizo na hili, tatizo langu dogo ni tofauti za uoni vs ukweli halisi!.
Kuna wakati nyumba ikipata mitikisiko, ikapata ufa, dawa ya kuuimarisha ni ama kuziba ufa ili usijenge ukuta, au sometimes ni kuibomoa na kuijenga upya, hivyo in that sense, kuziba na kubomoa zote zikawa ni kujenga!.
Uoni (point of view) ya Wanachadema wengi ni blured vision!, hawaoni kama huko juu kuna matatizo!. Kwa kutoyaina matatizo hayo, mnajiaminisha "manahodha wanaliendesha vizuri jahazi", na watawafikisha salama kwenye "destination 2015!". Sisi ambao hatumo humo ndani ya jahazi, ndio tunauona mwelekeo wa jahazi lenu!, linakwenda mrama, kama hamtakubali sio lazima kubadili manahodha, bali kubadili mwelekeo, ili kufika destination 2015 salama!. Kwa vile kosa ni la manahodha, ambao nao wako ndani ya jahazi, hawaoni kama wanakwenda mrama!, abiria nao hawajui kuwa wanapelekwa mrama!, atakayejitolea kuwa na kadira binafsi, anapotoa tahadhari kuwa "tunakwenda mrama!", "nahodha anatoa amri, atoswe baharini!" na abiria mnashangilia!.
Determinant ya usahihi wa manahodha wenu ni "the end justify the means", sisi wa pembeni tunaona kuwa hamfiki!, mnang'ang'ania mtafika!, tusiendelee kuandikia mate, 2015 itafika, kuna watakao lia na watakao cheka!, atakae lia mwisho ndio atalia sana, na atakae cheka mwisho ndio atakaye cheka sana, japo "kulia na kucheka zote ni kelele!".
Muda huo utakapofika, nitawakumbusha humu humu, tuliwaambia nini!.
Uwezo wa binadamu kufanya mambo pia ni limited kama uwezo wa uongozi!, solution ikiishafikia the point of saturation, inakuwa ni saturated solution, and it can take more than what it can!. Hao uliowataja, wamefanya kazi nzuri, ila wamefikia optimum point ya uwezo wao!, they can do no more than what they did!. Yule daktari wa Mwembe Yanga, tuyliyemtumainia siku zile, siye huyu aliye bize na "honeymoon" isiyoisha, huku aki baby sit kile kichanga kinachomuita "baba babu", kwa ngoma ya 2015 hawezi tena!, labda Kamanda kijana!.
All and all, tunasubiria, tukishuhudia, huku tukiwaeleza wazi!.
Pasco.
Mwananchi breaking news??? kama ni kweli kibaraka wa CCM anayemsema ni nani kama siyo yeye aliyeteuliwa na MWENYEKITI WA CCM kuingia tume ya Katiba?
ulipotea sana mkuu hapa jamvini. Vipi Malaria rugu na rejeo wako wapi?
Kuna jambo hulitambui Baregu na akina Mvungi waliteuliwa kwa mujibu wa sheria and not otherwise
Pasco, ushauri wako unahitajika zaidi CCM kuliko CHADEMA. Hivi dont you get a feeling that hayo ni matumzi mabovu ya busara? kushauri pasipohitaji ushauri wakati unaacha wanaouhitaji huo ushauri? Get some sense tafadhali, wewe upo huko na uliisha liweka wazi hili, kwa nini usitumie muda wako kujenga huko? CHADEMA wakiharibikiwa wewe inakuuma nini? Hauoni kuwa ni wakati wenu muafaka wa gonga mvinyo kwa kazi 'nzuri'.
Kimbelembele cha aliyesoma Tamko ni kama kile cha Petro ulipojengwa Mwamba.Yuda historia yake ni kwenye Kitanzi
Hata hivyo,Mafarisayo kama ulivyo umekua sehemu ya historia katika andiko lako hili
Hapo kwa Prof.Safari sijui umepewa ushauri na nani au ulisoma mahali.Mko sahihi hapo
Chochea kuni...
Hii move ya CDM, imewachanganya sana CCM. Lazima kutakuwa na kikao cha faragha Ikulu
Sijui kwanini jamani...wew jamaa sikupendi hata kidogo.Ninapoona andiki lako,nakeleka at maximum.Ningepewa hata sekunde moja ya kuwa malaika mtoa roho, basi ungekuwa mtu wa kwanza kukutoa roho.
Sikupendi sikupendi,Mungu jalia huyu mtu afe hata usiku wa leo.
Mkuu Molemo, sina tatizo na hili, tatizo langu dogo ni tofauti za uoni vs ukweli halisi!.
Kuna wakati nyumba ikipata mitikisiko, ikapata ufa, dawa ya kuuimarisha ni ama kuziba ufa ili usijenge ukuta, au sometimes ni kuibomoa na kuijenga upya, hivyo in that sense, kuziba na kubomoa zote zikawa ni kujenga!.
Uoni (point of view) ya Wanachadema wengi ni blured vision!, hawaoni kama huko juu kuna matatizo!. Kwa kutoyaina matatizo hayo, mnajiaminisha "manahodha wanaliendesha vizuri jahazi", na watawafikisha salama kwenye "destination 2015!". Sisi ambao hatumo humo ndani ya jahazi, ndio tunauona mwelekeo wa jahazi lenu!, linakwenda mrama, kama hamtakubali sio lazima kubadili manahodha, bali kubadili mwelekeo, ili kufika destination 2015 salama!. Kwa vile kosa ni la manahodha, ambao nao wako ndani ya jahazi, hawaoni kama wanakwenda mrama!, abiria nao hawajui kuwa wanapelekwa mrama!, atakayejitolea kuwa na kadira binafsi, anapotoa tahadhari kuwa "tunakwenda mrama!", "nahodha anatoa amri, atoswe baharini!" na abiria mnashangilia!.
Determinant ya usahihi wa manahodha wenu ni "the end justify the means", sisi wa pembeni tunaona kuwa hamfiki!, mnang'ang'ania mtafika!, tusiendelee kuandikia mate, 2015 itafika, kuna watakao lia na watakao cheka!, atakae lia mwisho ndio atalia sana, na atakae cheka mwisho ndio atakaye cheka sana, japo "kulia na kucheka zote ni kelele!".
Muda huo utakapofika, nitawakumbusha humu humu, tuliwaambia nini!.
Uwezo wa binadamu kufanya mambo pia ni limited kama uwezo wa uongozi!, solution ikiishafikia the point of saturation, inakuwa ni saturated solution, and it can take more than what it can!. Hao uliowataja, wamefanya kazi nzuri, ila wamefikia optimum point ya uwezo wao!, they can do no more than what they did!. Yule daktari wa Mwembe Yanga, tuyliyemtumainia siku zile, siye huyu aliye bize na "honeymoon" isiyoisha, huku aki baby sit kile kichanga kinachomuita "baba babu", kwa ngoma ya 2015 hawezi tena!, labda Kamanda kijana!.
All and all, tunasubiria, tukishuhudia, huku tukiwaeleza wazi!.
Pasco.
Hiyo ndio akili kubwa, it thinks great and logical and makes right decision at the right time! Mwigulu Nchemba akili yake ndogo sana!Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.
Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake na kuendelea kusisitiza kwamba Chadema itaendelea kuwa moja na Imara zaidi.
Source:Mwananchi Breaking News
Kwa maneno yako haya almost nakufananisha na shetani, manake huyo ndio anapenda kutoa watu roho.......Na kama mtu anachukiwa na shetani kwa kiwango hicho inaonyesha huyo mtu ni mzuri sana manake kati ya wanaomkera shetani nadhani yule mzuri zaidi ndio anayechukiwa na shetani zaidi !..... Umenithibitishia kwamba huyu jamaa unayetamani kumuua ni mmoja kati ya watu wazuri sana !
pole kamanda, tunakaribia kufika!