Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

Mods ikithibitika aliyeleta uzi amesema uongo, apewe LIFE BAN pamoja na kwamba ana ID nyingine atakayoendelea kuitumia

ALIYELETA HUU UZUSH NI MTELA MWAMBAPA, ATAFUTWE KOTE ALIKO APEWE LIFE BAN, JINGA KABISA HILI LITOTO LAZIMA LINA MAPUNGUFU KT MALEZi
 
Tunajua Prof utafika wakati wako utajiuzulu huo mchama! Lazima hao 'wenye akili ndogo' kuongoza akili kubwa watakuchosha tu wakiona kwenye majina yako hakuna Mushi,Kimaro Kilewo,Godlisen,Gudluki,preiGod,Maro,Mrema,Lema,Msele,Godbless,Masawe,Tarimo,Tairo na pia wala jina lako hujalipa cheo cha mchungaji ujue wanakulia taiming hao kama walivyomfanya Zitto.
 
mbona hamna hiyo kitu mwanachi jamani au mimi ndo siioni? naomba link jamani nijiridhishe
 
Chadema ni ma mafia sana! Wamempiga mkwara kwamba watamchachawangwe, kanywea! Bora zito alivyojiondokea, akina Ben saanane walikuwa wanazunguka na sumu mfukoni!

Zitto hajajiondokea,AMEFUKUZWA nafasi zote za uongozi wa chama,halafu ndani ya siku 14,atafukuzwa ikiwa atashindwa kutoa maelezo ya kuridhisha kwa nini ASIFUKUZWE uanachama.
 
Can ccm be frustrated with the dead?

with d dead? kamon wewe, j makamba kakununulia simu mda wote uko kt thread znazohusu chadema halafu waiita dead? wewe mwehu, inshort mmeumia kwa kitendo cha chadema, ivi c mumchukue zito mumpe ukatibu mkuu nyie shit ccm?
 
Jambo la kushangaza.....zamani vyama vya upinzani vilidoea wanaojitoa CCM lakini naona formula imebadilika....

Nilichosoma toka kwa wanaCCM toka jana ni kwamba wao ndo wanatamani wapinzani hawa wajiunge kwao......

Je kuna watu wanajiandaa kuwa wapinzani baada ya 2015?

Wanajua hilo ndo maana wanakodoa mimacho ka mjusi kabanwa na mlango.
 
Mwisho mtakuja na thread inayosema ZITTO kajinyonga baada ya kuvuliwa nyazifa ndani ya CHADEMA maana kwa uongo mnaongoza.

mie nashauri Zitto alindwe manake ana influence kubwa pale Lumumba,sasa tukimtimua akaelekea pande zile atasumbua sana "wadau sugu"pale,hivyo wanaweza kumuwahi sasa wamnanihii halafu wasingizie ni CHADEMA na huu mgogoro wautumie kama circumstancial evidence!namshauri akae mbali na gambaz washamharibia kibarua,bora atubu na kubaki kundini!siasa za Lumumba naziogopa!
 
Ila Chadema ni kiboko, nilikuwa nampenda sana Zitto, lakini moyoni nilikuwa najua hakai kwa moja wala kwa mbili, mara mwekundu mara mweupe yaani ni kama yupo na mara yupo alikuwa haeleweki..lakini sikudhani kama itatokea chadema wakawa na courage ya kumng‘oa mtu kama yeye, sijapenda kusimamishwa kwake kwa sababu bado namkubali sana Zitto licha ya udhaifu wake lakini i must admit kwa hili nimegundua tofauti kubwa kati ya Ccm na Chadema kwa kweli nimewaheshimu, nadhani sasa akina Shibuda watakaa kwenye mstari, Bravo my party!! i‘m proud of you guys
 
Prof hao wenye 'akili ndogo'lazima wakuboe kama walivyokuwa wanakukomalie eti ujitoe kamati ya katiba kabla april 2013.ukawagomea.Arfi kawaonyesha anaweza,jitoe baba haina akili iyo Chama cha ushirika Moshi.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.

Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake na kuendelea kusisitiza kwamba Chadema itaendelea kuwa moja na Imara zaidi.

Source:Mwananchi Breaking News

Utaona mtaanza kumpa sifa nyingi..... kama ni kweli kasepa mnaanza kumponda tena......
 
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.

Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake na kuendelea kusisitiza kwamba Chadema itaendelea kuwa moja na Imara zaidi.

Source:Mwananchi Breaking News

niliwambia modes waondoe ile 'krap'
 
Back
Top Bottom