Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

CCM inatumia nguvu kubwa sana lakini watambue tanzania ya leo si ya jana!! watu wanapohitaji mabadiliko ni ni lazima yawepo.
 
kwa kweli matokeo ya Zito kuondolewa madaraka matokeo yake yamekuwa tofauti na matarajio. Watu wamejazana bar asubuhi subuhi wakijipongeza kwa uamuzi huo mrua wa CC ya CDM.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.

Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake na kuendelea kusisitiza kwamba Chadema itaendelea kuwa moja na Imara zaidi.

Source:Mwananchi Breaking News

Kataa kutumika baba CDM itakuwa bora na imara zaidi na sasa kazi ya kuleta ukombozi itafanyika bila uwepo wa maharamia waliokuwa nania ya kuona CDM haikamati Dola. imekula kwao.
 
ROSTAM AZIZ EX-IGUNGA MP alishasema siasa za ccm ni Siasa UCHWARA...Huyu jamaa hakukosea hata kidogo.
 
Mkuu Molemo, asante kwa taarifa. Prof. Beregu, kwa maoni yangu, ndio the only wise ndani ya CC ya Chadema akifuatiwa na JJ.Mnyika!. Ni mtu mwenye msimamo usioyumba na asiyekubali kupelekwa pelekwa kwa kutanguliza maslahi ya taidfa mbele ndipo nyuma chama kifuate, pale alipolazimishwa kujitoa kwenye Tume ya Katiba!, akawagomea kata kata hao "vichwa panzi" ambao kiukweli, mwanzo walikuwa na "uwezo" na "tuliwatumainia sana", ila sijui ni nini kimewapata!, uwezo wao unashuka kuelekea sifuri, zero, ila bado "watu" wanawatumainia", na ndio "wanawategemea" kwa 2015!.

Lets wait and see!.
Pasco.

Ahsante kwa shukrani mkuu Pasco.

Vipi kwa maoni yako unashauri sasa Mnyika awe Naibu Katibu Mkuu na Prof.Baregu awe Makamu Mkiti nafasi zilizo wazi kwa sasa?
 
Last edited by a moderator:
chadema ni cha cha wote sio kama ma ccm yanakula rushwa then yanalindana, chadema hamna upuuzi ,hatuangalii umaarufu wa mtu,daima tunakilinda chama.
 
Chama kinataka viongozi ambao ukiwakata watatoka damu ya chadema, siyo viongozi wasioeleweka wako upande gani,mmoja wao ni Zitto, na Arfi, hawaelewekagi, hata siku moja; hivi Tundu Lissu, Mnyika, Mdee, Msigwa, wanaweza kufanana na Zitto au Said Arfi, Hawakufaa kuwa viongozi wa chama hata kidogo.
 
Mods: tafadhali watendeeni haki wazushi na waongo wote.

Jana Mtela kaleta uzi hapa juu ya Mh. Arfi kujiuzulu kisha akaweka updates kuwa Prof. Baregu na Prof. Safari nao wameachia ngazi.

Hatuogopi hayo yakitokea, lakini kama hayapo kwanini kuyatunga?
 
Tunaziba ufa ili nyumba yetu iwe imara, songa mbele prof Baregu, maprof wetu sio kama wenu wanao tuhumiwa kubaka watoto wao. Shame on you
 
Back
Top Bottom