ZIRO
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 896
- 658
Wewe jamaa hauko sawa akilini,nahisi unatafuta umaarufu kwa nguvu. Kila siku unapost mautumbo...Kijarida changu cha (Ukombozi Wa Pili wa Taifa Letu 2011-Deogratius Pio Kisandu), Kitabu changu cha +(Utani wa SERIKALI na Wananchi 2013-Deogratius Mashaka Kisandu), na vitabu vyangu vijavyo, makala zangu zote kwenye Social Media, Kwenye Magazeti na mahojiano yoyote. Kama Rais anayafanyia kazi hii ni Baraka kwangu hata asipo nisifia akawasifia wengine ili mradi Hekima yangu INA iishi.
Cheo ni dhamana ukipewa unakitumikia lakini si kama mnaonizushia uongo kwa maslahi yenu. Mimi ni mzima wa afya na shule zimefungwa na Niko likizo na juzi nimetoka bank Ku droo pesa ya sikukuu. Washikaji Mimi ni mwajiriwa japo mmenifilisi. Kazi njema Rais Magufuli na sikukuu njema.
Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania.