Sihitaji kupewa cheo na Rais Magufuli, nahitaji mawazo yangu ayaishi Rais Magufuli

Kijarida changu cha (Ukombozi Wa Pili wa Taifa Letu 2011-Deogratius Pio Kisandu), Kitabu changu cha +(Utani wa SERIKALI na Wananchi 2013-Deogratius Mashaka Kisandu), na vitabu vyangu vijavyo, makala zangu zote kwenye Social Media, Kwenye Magazeti na mahojiano yoyote. Kama Rais anayafanyia kazi hii ni Baraka kwangu hata asipo nisifia akawasifia wengine ili mradi Hekima yangu INA iishi.

Cheo ni dhamana ukipewa unakitumikia lakini si kama mnaonizushia uongo kwa maslahi yenu. Mimi ni mzima wa afya na shule zimefungwa na Niko likizo na juzi nimetoka bank Ku droo pesa ya sikukuu. Washikaji Mimi ni mwajiriwa japo mmenifilisi. Kazi njema Rais Magufuli na sikukuu njema.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania.
Wewe jamaa hauko sawa akilini,nahisi unatafuta umaarufu kwa nguvu. Kila siku unapost mautumbo...
 
Unasema shule zimefungwa umepumzika kwa sasa,akili ya haraka inanijia kwamba wewe ni mwalimu,basi walimu mna safari ndefu kwa kuwa na watu wa kariba kama ya kwako.
 
Kijarida changu cha (Ukombozi Wa Pili wa Taifa Letu 2011-Deogratius Pio Kisandu), Kitabu changu cha +(Utani wa SERIKALI na Wananchi 2013-Deogratius Mashaka Kisandu), na vitabu vyangu vijavyo, makala zangu zote kwenye Social Media, Kwenye Magazeti na mahojiano yoyote. Kama Rais anayafanyia kazi hii ni Baraka kwangu hata asipo nisifia akawasifia wengine ili mradi Hekima yangu INA iishi.

Cheo ni dhamana ukipewa unakitumikia lakini si kama mnaonizushia uongo kwa maslahi yenu. Mimi ni mzima wa afya na shule zimefungwa na Niko likizo na juzi nimetoka bank Ku droo pesa ya sikukuu. Washikaji Mimi ni mwajiriwa japo mmenifilisi. Kazi njema Rais Magufuli na sikukuu njema.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania.
Mkuu una busara na hekima nyingi. Unajua lazima ungetumbuliwa. Rais hataki independently thinking civil servants! Hiyo haina mjadala!! Sikukuu njema na wewe.
 
Kijarida changu cha (Ukombozi Wa Pili wa Taifa Letu 2011-Deogratius Pio Kisandu), Kitabu changu cha +(Utani wa SERIKALI na Wananchi 2013-Deogratius Mashaka Kisandu), na vitabu vyangu vijavyo, makala zangu zote kwenye Social Media, Kwenye Magazeti na mahojiano yoyote. Kama Rais anayafanyia kazi hii ni Baraka kwangu hata asipo nisifia akawasifia wengine ili mradi Hekima yangu INA iishi.

Cheo ni dhamana ukipewa unakitumikia lakini si kama mnaonizushia uongo kwa maslahi yenu. Mimi ni mzima wa afya na shule zimefungwa na Niko likizo na juzi nimetoka bank Ku droo pesa ya sikukuu. Washikaji Mimi ni mwajiriwa japo mmenifilisi. Kazi njema Rais Magufuli na sikukuu njema.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania.

Nilishatoa angalizo hapa jukwani kwamba watu wa karibu yako inabidi wawe karibu sana na wewe kwani nina mashaka unaweza hata kujinyonga kwa huu msongo wa mawazo ulio nao.
 
MKUU, LAZIMA UNA TATIZO, USIPUUZIE KAJICHUNGUZE

Kuna mtu alisema unatafuta umaarufu kwa nguvu.. mimi nilimpuuza
Ila naanza kuziona alama zote za ukweli wa ile kauli.
Mkuu huyu wala sio anatafuta umaarufu bali ana ugonjwa wa akili
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom