Sihitaji kupewa cheo na Rais Magufuli, nahitaji mawazo yangu ayaishi Rais Magufuli

Ndg zangu wa kahama mara nyingi mnaniangusha sana kimawazo sasa sijui ndiyo Mercury zinapunguza uwezo wenu wa kufikiri.?
 
kwahiyo umetoka bank kudroo hela ya sikukuu, bas sawa. Ila all in all wewe sio mzima na chizi huwa hajijui sawasawaaaaa!!
 
MKUU, LAZIMA UNA TATIZO, USIPUUZIE KAJICHUNGUZE

Kuna mtu alisema unatafuta umaarufu kwa nguvu.. mimi nilimpuuza
Ila naanza kuziona alama zote za ukweli wa ile kauli.

Huyo alikuwa anaelekea kuwa Padri, lakini hakuwa na huo wito hivyo hawakumpa, kuanzia hapo anaonekana kama kuna fuse zimekata

Si bure kabisa
 
kunamtu alikuitaga kiherehere ukakaa kimya nikawa na mashaka...ivi ulivyoandika sasa sinashaka
 
MKUU, LAZIMA UNA TATIZO, USIPUUZIE KAJICHUNGUZE

Kuna mtu alisema unatafuta umaarufu kwa nguvu.. mimi nilimpuuza
Ila naanza kuziona alama zote za ukweli wa ile kauli.
Hizi ni type za Dr. Slaa mkuu usimshangae..... Huwezi kuacha wito kirahisirahisi!!
 
Pio ni JINA langu la kitawa na MASHAKA ni JINA langu la kuzaliwa. Mimi ni Deogratius Nalimi Kisandu.
Deo you are not ok.
Whatever has happened in your life, it will come to pass. For now just rest and don't think much.
The feeling that you are ok and that you wish to convince people you are ok should itself tell you that you aren't ok.

Go slow Deo, this will pass
 
Pio ni JINA langu la kitawa na MASHAKA ni JINA langu la kuzaliwa. Mimi ni Deogratius Nalimi Kisandu.

Kwa hiyo mwenye vitabu ni nani hasa? maana sijakuelewa hayo majina nadhani sihitaji kuelewa utavuruga zaidi.
Pio, nalimi, mashaka(uko kimashakamashaka kweli)
 
Mkuu Kisandu wewe ndio aina ya wasomi wa kwenye viti virefu. Kadri mnavyoongeza bia mwilini ndivyo mnavyoanza kuanika habari zenu mpaka zile nyeti.

Watu kama wewe wanakuwa na rundo la wapambe, na kazi yao ni nyepesi sana ili wazipate fedha zako. Wanachokifanya ni kukusifia tu. Ukijakushtuka umeshafilisika na watu wameshajenga majumba kwa sababu ya kazi nyepesi ya kukupamba.
 
Back
Top Bottom