Sihitaji kupewa cheo na Rais Magufuli, nahitaji mawazo yangu ayaishi Rais Magufuli

Deogratius Kisandu

Verified Member
Dec 2, 2012
1,335
2,000
Kijarida changu cha (Ukombozi Wa Pili wa Taifa Letu 2011-Deogratius Pio Kisandu), Kitabu changu cha +(Utani wa SERIKALI na Wananchi 2013-Deogratius Mashaka Kisandu), na vitabu vyangu vijavyo, makala zangu zote kwenye Social Media, Kwenye Magazeti na mahojiano yoyote. Kama Rais anayafanyia kazi hii ni Baraka kwangu hata asipo nisifia akawasifia wengine ili mradi Hekima yangu INA iishi.

Cheo ni dhamana ukipewa unakitumikia lakini si kama mnaonizushia uongo kwa maslahi yenu. Mimi ni mzima wa afya na shule zimefungwa na Niko likizo
Washikaji Mimi ni mwajiriwa japo mmenifilisi. Kazi njema Rais Magufuli na sikukuu njema.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania.
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,776
2,000
Kijarida change cha (Ukombozi Wa Pili wa Taifa Letu 2011-Deogratius Pio Kisandu), Kitabu changu cha +(Utani wa SERIKALI na Wananchi 2013-Deogratius Mashaka Kisandu), na vitabu vyangu vijavyo, makala zangu zote kwenye Social Media, Kwenye Magazeti na mahojiano yoyote. Kama Raid anayafanyia kazi hii ni Baraka kwangu hata asipo nisifia akawasifia wengine ili mradi Hekima yangu INA iishi.

Cheo ni dhamana ukipewa unakitumikia lakini si kama mnaonizushia uongo kwa maslahi yenu. Mimi ni mzima wa afya na shule zimefungwa na Niko likizo na juzi nimetoka bank Ku droo pesa ya sikuu kupitia Utumishi wa umma. Washikaji Mimi ni mwajiriwa japo mmenifilisi. Kazi njema Rais Magufuli na sikukuu njema.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania.
Haya ni maombi, ushauri au maelekezo?
 

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
8,888
2,000
Mkuu kwanini usiiweke vizuri hii kwa kuji-introduce tukufaham vizuri
 

Jorojik

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
3,033
2,000
Wenzio wapo Nyangarata na Nyakagwe wanavuna dhahabu, wewe unaandika vijarida ati msomi. Atakayepoteza muda wa kusoma au kununua jarida lililoandikwa na mtu wa aina yako lazima ana matatizo ya akili.
 

Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,963
2,000
Naanza kuamini kuna nati imefyatuka katikati ya Oblongata yako. Inabidi upelekwe mirembe wakaikaze vizuri.
 

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,800
2,000
Kijarida changu cha (Ukombozi Wa Pili wa Taifa Letu 2011-Deogratius Pio Kisandu), Kitabu changu cha +(Utani wa SERIKALI na Wananchi 2013-Deogratius Mashaka Kisandu), na vitabu vyangu vijavyo, makala zangu zote kwenye Social Media, Kwenye Magazeti na mahojiano yoyote. Kama Rais anayafanyia kazi hii ni Baraka kwangu hata asipo nisifia akawasifia wengine ili mradi Hekima yangu INA iishi.

Cheo ni dhamana ukipewa unakitumikia lakini si kama mnaonizushia uongo kwa maslahi yenu. Mimi ni mzima wa afya na shule zimefungwa na Niko likizo na juzi nimetoka bank Ku droo pesa ya sikukuu. Washikaji Mimi ni mwajiriwa japo mmenifilisi. Kazi njema Rais Magufuli na sikukuu njema.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania.
ha ha ha ha ha aaaaaaa kwani vepeeeee jamani????
cc Daudi Mchambuzi
 

mwakibete

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,985
2,000
:D:D:D:D:D we jamaa bwana. Nikiunganisha na ile mada yako umeitupia MMU mi nachoka nawe.
Ngoja niendelee kutembea tu
 

Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,748
2,000
Ndugu naona unaongea kama vile kila mtu humu JF anakujua.
Haya tumekupa nafasi em jitambulishe maana hii ni post ya pili unaongea kama mtu fulani hivi muhimu sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom