Sifa za wanaume weupe

Sifa za wanaume weupe

Umebadili gia naona

Mi sina sifa yao nzuri hata moja, hata ya kinafiki sina ni viumbe nisio na mzuka nao,,
Du naona bado unacheza na gia ileile.mi white na mm huwa nawakubali black beauty.sema wanatoweka kwa kasi.Ila legeza kidogo weupe umetuweka kwenye group kama la viumbe wengine tofauti na binadamu
 
Kama ni hivyo wanaume weupe hawana amsha amsha....
 
Mkuu wewe unawajua watu weupe wote hapa nchini?

Mang'ati weupe wengi hawanywi pombe na wala si wachafu?

Inatosha kwanza nisije nikataja makabila mengi ambayo yana wanaume weupe wengi na ni walevi wa kupindukia, halafu nikawakwaza.
NITUMIE JAPO PICHA MOJA YA MANG'ATI naamini unamaaanisha barbaig AU MASAI MWEUPE MM SINA HATA MOJA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom