ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,828
Basi utakuwa mzuri....Mie mwenye choclate..lol
Basi utakuwa mzuri....Mie mwenye choclate..lol



nimependa comment zenu mbarikiwe wote mliochangiaUbaguzi upo sana..hasa sisi watu weusi ni laana tosha.Kama umeanza ubaguzi wa rangi, sasa utaendelea kwenye dini, kabila, jinsia, elimu, uwezo wa kiuchumi, ukanda, etc.
Wewe ni Mimi kabisa!Hizi sifa zimezidi mimi ni white na ninapiga tungi dunia. Halafu kuhusu ugomvi haiwezekani unizingue nikae kimya wewe, hata uwe na mwili wa kukumbatia mbuyu ngumi zitapigwa tu ila kuhusu kutongoza ni kweli sitokei mdada/mmama/mbibi mara mbili.
Na hata kama wewe ni mweusi kwa nini ukae juani kwa muda mrefu? Umekuwa mjusi kafiri?Weupe wana melanin kidogo kwenye ngozi zao hivyo kupelekea kushindwa kukaa juani muda mrefu.
ha ha ha ha ushapokea Dozi yako wewe kutwa mara 3....Hao ndio wanaume weupe haoooooYaani nikisema hapa sijui itakuwaje, ukimpa date ya kwanza ukafika ukaanza kudengua za sitaki nataka anakuacha anakupa na pole juuuu!!!! Mtu mzima unajua hapa hamna kitu
Mwanaune mweupe namuona she mwenzangu tu,,