Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,621
- 69,357
Poule cheupe dawa
Ulitom b w na boya bas
Ulitom b w na boya bas
Hapa umechemka3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.
4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.
5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.
6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.
Mwanaume anagombania kioo na dadake unategemea afanye kazi nzito? Du pole bidada ningemlipia alicho kufanyia huyo cheupe, wanatudharirisha wanaume.
Wala sina shida. Ila ukweli utabaki kileleni. Katu hutobahatika. Sizitaki mbichi hizi.
hahaha ila mtoto mdogo akiwa mweusi hata stimu ya kumbeba inaishia hapoWanawake watasema mengi ila kiukweli hakuna mwanamke anataka kuzaa mtoto mweusina mfupi
Emb fikiria katoto kadogo kakiwa keusinani atam-beba?
Acheni kujifanya,
Labda kajchubua ila sisi asili kama mim usije jaribuPoule cheupe dawa
Hata mpango wa kuwajaribu sinaoLabda kajchubua ila sisi asili kama mim usije jaribu
Sijui rang gan wewe mwanamkeHata mpango wa kuwajaribu sinao
Sijui rang gan wewe mwanamke
ExactlyMe mwanaume akiwa mweupe sana sijui namuonaje...napenda black flan hiviii amazing
Really kumbe weupe ni warembo tu kama warembo wengineWanaume weupe hawajui kut o m _ a n a
Really kumbe weupe ni warembo tu kama warembo wengine
Sisi weupe hao tunatisha atariii 😮 mpk basiKama umeanza ubaguzi wa rangi, sasa utaendelea kwenye dini, kabila, jinsia, elimu, uwezo wa kiuchumi, ukanda, etc.
Sema unatuonea wivu tu13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.
ITAENDELEA.........
Sema unatuonea wivu tu13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.
ITAENDELEA.........
kwani nimesema nikimdaka nitampiga ngumi au makofi? labda unionyeshe nliposema hivyo kwanza
Wanawake watasema mengi ila kiukweli hakuna mwanamke anataka kuzaa mtoto mweusina mfupi
Emb fikiria katoto kadogo kakiwa keusinani atam-beba?
Acheni kujifanya,