Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 996
Sisi weusi tunasubiri sifa zetu
Ndioo..hahahHahah!
Umenifanya nicheke eti yoriyori...
Wanaume weupe hawajui kut o m _ a n a
Unasema?Hapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.
Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.
1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.
2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake.![]()
3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.
4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.
5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.
6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.
7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks
8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima
9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima
10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.
11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.
12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.
ITAENDELEA toleo lijalo.....
mkimaliza muamie kwa wanawake wafupi.
Tupooooo,sijui nan atakuja kutuwakilisha black mambaz sisi?Waiting kwa sifa za maniggazz the black mambaz..
Yaani nikisema hapa sijui itakuwaje, ukimpa date ya kwanza ukafika ukaanza kudengua za sitaki nataka anakuacha anakupa na pole juuuu!!!! Mtu mzima unajua hapa hamna kituKapeace ww...!una tabia mbaya kwakwel...acha tabia mbaya..Mungu hapend
Mie wananiboa kwenye unyanya nyanya jaman...khaa..wee kibulb kikipasuka ashakimbilia nje...akichomwa ka mwiba shoga utasumbuliwa ww.....week zima mwekundu...acheni hizo
Wewe jitoleeeTupooooo,sijui nan atakuja kutuwakilisha black mambaz sisi?
Yaani nikisema hapa sijui itakuwaje, ukimpa date ya kwanza ukafika ukaanza kudengua za sitaki nataka anakuacha anakupa na pole juuuu!!!! Mtu mzima unajua hapa hamna kitu
Mwanaune mweupe namuona she mwenzangu tu,,
Hawashtui kabisa niishie hapa maana huu ni uzi wao wa kusifu...leo nashuhudia matusi yako live dah..hehhehe...
Raha ya sifa inabid upewe na mwingne ukijipa mwenyew lazm ujipendleeWewe jitoleee
Bangi sio nzuri kabisaMie napenda na kutaaamani mwanaume mwenye SUGU MIKONONI JAMAN![]()