Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,207
- 3,604
yaani kati ya vitu sipendi ni kuitwa white japo mweupe....ukitaka hata nisikujibu niite white
ufala sana
ufala sana
Nasikia wenzetu ma waitiii wengine ni kama wazungu wameanza kuwa na damu baridi hahahaaaaa
Halafu vya hivyo ni vitamu balaaa!!Yaani vile unadengua kyupi ishachanwa,,, ukibana miguu inachanuliwa kichwa ishaingia na mauno utayakata tuuuu lakini njoo kwa mawhite sasa yeleuwiiiiiii,,,,,,, masetere tu hamna kitu
Yaani hata nashindwa kuelewaNisaidie kustaajabu hebu

Yaani ni nouuuumerrrrrrHalafu vya hivyo ni vitamu balaaa!!



.





Yaan angejua ninavyopenda black men hata asingeandika huu Uzi....sipendi kabisa mtu awadis wanaume weusi.Huu ni ubaguzi wa wazi wazi kwa sisi black..
Mwansume ajisifiaye weupe ana gene za kike.Hapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.
Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.
1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.
2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake. 💪
3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.
4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.
5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.
6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.
7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks
8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima
9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima
10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.
11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.
12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.
13.Mwanaume mweupe Hafugi mandevu kama Rick Ross,mwanaume mweupe anachonga timberland linashuka safiii yani mtoto wa kiume mweupe na ndevu hapana bwana Ndevuuu waachieni ma Black huko wapambane na Midevu yao.
14.Mwanaume mweupe ni Handsome acha kabisa...
ITAENDELEA toleo lijalo.....
Hahahahahahah yaan nimecheka jamaniMie wananiboa kwenye unyanya nyanya jaman...khaa..wee kibulb kikipasuka ashakimbilia nje...akichomwa ka mwiba shoga utasumbuliwa ww.....week zima mwekundu...acheni hizo
Ha ha haaaaKusema ukweli hawa ndio wanaume wanaobeba sifa za wale wa naume wa dar. Ni weupe.
1,wanapend kuvaa bukta, na malapa meupe kwamba wanataka ku relax hawa wenzetu.
2,hutembea kana kwamba wamechomwa miba katka uvungu wa nyayo zao, huku mikono ikitanuliwa kidogo.
3,hawatoi gari parking mpaka awepo mtu wa kumuongoza nyuma, la sivyo anagonga.
4,hawapendi simu zingine zaidi ya iphones hasa nyeupe.
5,mara nyingi huwa wanatafuna big g
6,hupenda kuongea au kuchart na simu wakiwa wanatembe.
7,ukimsimamisha,lazima aitizame screen ya simu yake kwanza huku anakusikiliza
![]()
Hao weupe wanaoremba watakuwa wanaume wa Dar, Ila wanaume weupe wengine hawanaga swaga hizooo. Ukimpa kitumbua hicho utaenda hadithia kwa wengine.Hahahaha black watamu bhanaaa
Eid Mubarak
Yaan wewe ni Mimi kabisa....sipendi mwanaume mwenye mikono laini lolMie napenda na kutaaamani mwanaume mwenye SUGU MIKONONI JAMAN![]()
Bado hujanishawishi cheupe dawaHao weupe wanaoremba watakuwa wanaume wa Dar, Ila wanaume weupe wengine hawanaga swaga hizooo