Sifa za wanaume weupe

Sifa za wanaume weupe

Hapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.

Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.

1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.

2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake.

3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.

4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.

5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.

6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.

7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks

8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima

9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima

10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.

11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.

12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.

13.Mwanaume mweupe Hafugi mandevu kama Rick Ross,mwanaume mweupe anachonga timberland linashuka safiii yani mtoto wa kiume mweupe na ndevu hapana bwana Ndevuuu waachieni ma Black huko wapambane na Midevu yao.

14.Mwanaume mweupe ni Handsome acha kabisa...
ITAENDELEA toleo lijalo.....
Kibaya ni kuwa wanaume weupe wanaliwa sana tigo pesa! Nimekuongezea hiyo ulisahau.
 
Ungekuwa black ningekuja kuosha macho tu lkn white huhuhuhuhuuuuuuuuuuu utasubiri sana kutafutwa na mimi!!!
Wala sina shida. Ila ukweli utabaki kileleni. Katu hutobahatika. Sizitaki mbichi hizi.
 
Unatuaibisha sisi wanaume weupe aiseee nwanaume unamwambia mtu atajiju???? et utajiju hizo kauli ndio maana sisi weupe tunadharaulika
Unamjibu mtu kutokana na hulka yake. Sorry ikiwa imekukwaza ila kwa mlengwa kaipata yenyewe.
 
Hawashtui kabisa niishie hapa maana huu ni uzi wao wa kusifu
Mwanaume anagombania kioo na dadake unategemea afanye kazi nzito? Du pole bidada ningemlipia alicho kufanyia huyo cheupe, wanatudharirisha wanaume.
 
we sema tuuh untaka kumsifia bwana ako....
Hapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.

Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.

1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.

2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake.

3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.

4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.

5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.

6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.

7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks

8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima

9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima

10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.

11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.

12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.

13.Mwanaume mweupe Hafugi mandevu kama Rick Ross,mwanaume mweupe anachonga timberland linashuka safiii yani mtoto wa kiume mweupe na ndevu hapana bwana Ndevuuu waachieni ma Black huko wapambane na Midevu yao.

14.Mwanaume mweupe ni Handsome acha kabisa...
ITAENDELEA toleo lijalo.....
 
Yaani hapa ndo mnanichoshaga wanaume nyolo nyolo hahahaha akili za kiboy hizi, manengelo mchukue mtu wako huyu

😂😂😂😂..mie km@Shunie napenda sura chachu best...hahaha...wazuri wakujilamba lips nawapeleka wap.jaman.kapeace...!had nikasema napenda men mwenye sugu mikonom.automatic huyo ni mchachu...😅😅💃💃💃
 
Men must be like this
Screenshot_20190605-192220.jpeg
 
Hili jamaa ni bwabwa sio bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom