Sifa za wanaume weupe

Sifa za wanaume weupe

MTOA MADA NIMEKUKUBALI HAPO KWENYE KUBEMBELEZA, WANAUME WEUPE HUTONGOZA MARA MMOJA KAMA UNALETA SWAGA ZA KUTAKA KUBEMBELEZWA IMEKULA KWAKO. KESHO ATAMCHUKUA RAFIKI YAKO NA UTAISHIA KUMNUNUNIA, HII BINAFSI NIME SHUHUDIA SANA.
 
Duh nimecheka kwa sauti hadi naamsha waliolala....., huyu jamaa cjui kala maharage ya wapi? Au so rijali mbn cfa km za upande was pili
 
Yaani nyie ma hb mnaoa wabaya ndo kama sie mwanamke ukijiamini muonekano wako huwezi kuogopa kuzaa na sura yoyote,, hata wasira unampa mbegu kiroho safi
Thubutu kuna kadada Fulani hivi amazing kakajiroga kuolewa na mwanaume mweusi tii watoto sasa yaani atabeba katoto kanaonekana meno na macho tu. Niliogopa sana.
 
Nasikia wenzetu ma waitiii wengine ni kama wazungu wameanza kuwa na damu baridi hahahaaaaa
ni wazungu mkuu,ilitokea emergency tu wakashushwa bara Hili ndege yao ya direct ilichelewa
 
Yaani nyie ma hb mnaoa wabaya ndo kama sie mwanamke ukijiamini muonekano wako huwezi kuogopa kuzaa na sura yoyote,, hata wasira unampa mbegu kiroho safi
Mie hata marafiki zangu lazima wawe wazr aisee
Sitaki kuoa mke mbaya
 
Hiyo haina uthibitisho hata silizungumzii mi nazungumzia udhaifu wa wanaume weupe, mambo ya watoto watatokaje liko nje ya uwezo wangu
Thubutu kuna kadada Fulani hivi amazing kakajiroga kuolewa na mwanaume mweusi tii watoto sasa yaani atabeba katoto kanaonekana meno na macho tu. Niliogopa sana.
 
Hiyo haina uthibitisho hata silizungumzii mi nazungumzia udhaifu wa wanaume weupe, mambo ya watoto watatokaje liko nje ya uwezo wangu
Shida ni kuwa nyie wanawake wazuri wazuri mnalinga sana kivumbi ni ukutane na mwanaume mweupe asiyependa malingo malingo ndio mwanzo wa kuumia. Waache wanawake wenzio wasioringa wale vitu adimu.
 
Sawa mwanaume mweupe hahahaha nimewapatia leo wanaume weupe!!! Seriously, hamshtui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom