Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,137
- 11,400
Ipo dhana potofu ya kuchafua wanaume na kusema kuwa kuna wanaume wanaokuwa mashoga na ushoga ni wanaume wanaoruhusu kuingiliwa
Ukweli ni kwamba hii sio sahihi na ni jambo ambalo nigumu kutokea au karibu kutowezekana kwa mwanaume kamili kuamka na kufikiria kuwa shoga.
Fanya utafiti uulize mwanaume yoyete kamili kama anaweza kuwa shoga kama hajakuvunja meno, uanaume ni ufahari na sio rahisi mtu kuukimbia ufahari.
Hivyo basi mashoga sio wanaume na hawajawahi kuwa wanaume. Mwanaume kamili kamwe hawezi kufikiria kuwa shoga hata kama ni mtoto mdogo.