Aione Bujibuji na Asprinno .1...utafiti uliofanywa na taasisi mbalimbali duniani unaonyesha katika kila wanaume 10 wenye vitambi 8 wanamiliki nyumba ndogo.
no 2......pia ilibainika wanaume wenye vitambi wana ushawishi mkubwa kwa wanawake yaani wanakubaliwa haraka..labda wanawake wanadhani hivo vitambi vyao vimesheheni mifwedha na kuwakataa ni sawa na kupiga gunia la hela pesa.kwa hiyo huwa wanakubaliwa haraka sana.
no 3........wanaume wenye vitambi wanajali sana nyumba zao ndogo kuliko hata familia zao...hawaogopi lolote wakihamia ni wamehamia...kwao liwalo na liwe
no 4......wanaume wenye vitambi ni wafujaji wa hela kwa kifupi sio watu wa kuujali saana kuhusu utoaji wao...kwao chop chop money i don care ndo kauli mbiu yao...
no 5.....wanaume wenye vitambi hawana
no 6....wana bahati ya kupata hela .wengi wana hela hela ila ndo hivo zinaishia kwa wanawake...misosi na pombe na michemsho.
no 7....ziro in bed
source.saloon ya wamama!
mi nshatupwa jalalani na warembo wote wa jf
Basi mie kitambi ugonjwa wangu, raha kukilalia
Inaonyesha una kauzoefu!!!!Nanii zao ni ndogo kama kidole cha mwisho, wanapenda style za kukaliwa kwa kuwa wanaamini ndio wanamfikisha mwanamke atakapo, wanawanawake wengi kwa tatizo la kutokujituma kwao huogopa kuachwa inabidi kuwa na nyumba ndogo nyingi zaidi, huwa ni bahili sana hata kama anapesa nyingi hatoi izo ni sifa zingine za wenye vitambi, bila kusahau wanakoroma sana utadhani wametoka kulima baada ya bao moja tu la dk 5
Basi mie kitambi ugonjwa wangu, raha kukilalia
Kwa ufupi ukiwa na kitambi wanawake wanaambiana 'huyo mgeni wa vingunguti kaja ' lol