sifa za wanaume wenye vitambi

sifa za wanaume wenye vitambi

....ujue kuna mtu anajituma lakini ladha hakuna.....

mwingine utulivu ila result big big u know what am saying meeen!

....duhhh! Smile, .....😉
 
Last edited by a moderator:
Kulea mwana si kazi,kazi kufuga kitambi waulize ma-boss na mizigo yao ya dhambi,hey hapo hapo ulipo shikilia channnel usiachie hee shuruba sio hapa tu bongo hata newyork,uk stockholm hilo lazima ufahama ujawahi kusikia mtu amelala na njaa ndani ya paris ufaransa? Tukizinyaka ni kung'arisha hizi biere totoz na madude ya kupiga pamba ni rasharasha tu bado mvua kamili haijanyesha alaaa ebooo!!!
 
Nanii zao ni ndogo kama kidole cha mwisho, wanapenda style za kukaliwa kwa kuwa wanaamini ndio wanamfikisha mwanamke atakapo, wanawanawake wengi kwa tatizo la kutokujituma kwao huogopa kuachwa inabidi kuwa na nyumba ndogo nyingi zaidi, huwa ni bahili sana hata kama anapesa nyingi hatoi izo ni sifa zingine za wenye vitambi, bila kusahau wanakoroma sana utadhani wametoka kulima baada ya bao moja tu la dk 5

Mkuu umetangaza vita ya kudumu na jamaa zetu wenye vitambi!kwa haya maneno yako kamwe hawatokusamehe!
 
hahahahahahaha nina wasiwasi na sample.

hila kuna ukweli kutokana na baadhi ya mabinti wanavyo amini.
 
Mkuu umetangaza vita ya kudumu na jamaa zetu wenye vitambi!kwa haya maneno yako kamwe hawatokusamehe!
mkuu unacho nn angalia usipige mtu na kama kip ondoa haraka huo mgogoro wa ndoa
 
Aaargh ukweli utafahamika tu ila kwa uchache ni kuwa wanawake ukiongea nao hata wenye partners waliopata vitambi baada ya ndoa wanakiri kuwa baada ya kitambi mambo huwa si kama awali.

Hatuwezi ku-generalize haya maelezo lakini jambo linalojirudia mara kwa mara si jambo la kuachwa lipite bila kujadiliwa.!!!! Wakati tukisubiri huo utafiti utakaonza na proposal,mpaka generalization.

Hapa tu wadada wakiamua kuwa wakweli tutapata picha ya tukio
 
Dunia ina mambo sana!!!!!!!!!!!!!!
 
Kupata kitambi ni rahisi sana kunywa supu ya koromeo kila siku,maji yasiochemshwa,kula kambale,kula kachumbari mbichi na kunywa kibuku.
 
Smile ngoja nije huko huko....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom