sifa za wanaume wenye vitambi

sifa za wanaume wenye vitambi

wenye vitambi njooni mthibitishe kama haya yakiyosemwa hapa ni kweli!!??
 
muulizeni lulu awaambie muheshmiwa wa mjengoni mambo yake.

by the way,ataeweza nipatia picha ya muheshimiwa muimbaji wa mjengoni akiwa tumbo wazi kuna kilo moja hapa
 
kitambi kiache tu kwanza wangu anafurahi atleast pipe imepungua hivyo anaimidu kidogo kifuga kitambi kunaitaji strategy sio unakurupuka tu kukifuga mpk sasa kwa huduma zake tu ningekua na Lexus mbili
 
Kiukweli kitambi hakifai kbs ndio maana nateseka gym kila siku kukiondoa na nishafanikiwa 70% natamani nirudi kwenye hali yangu ya uflat.
 
Back
Top Bottom