sifa za wanaume wenye vitambi

sifa za wanaume wenye vitambi

no .1...utafiti uliofanywa na taasisi mbalimbali duniani unaonyesha katika kila wanaume 10 wenye vitambi 8 wanamiliki nyumba ndogo.
no 2......pia ilibainika wanaume wenye vitambi wana ushawishi mkubwa kwa wanawake yaani wanakubaliwa haraka..labda wanawake wanadhani hivo vitambi vyao vimesheheni mifwedha na kuwakataa ni sawa na kupiga gunia la hela pesa.kwa hiyo huwa wanakubaliwa haraka sana.
no 3........wanaume wenye vitambi wanajali sana nyumba zao ndogo kuliko hata familia zao...hawaogopi lolote wakihamia ni wamehamia...kwao liwalo na liwe
no 4......wanaume wenye vitambi ni wafujaji wa hela kwa kifupi sio watu wa kuujali saana kuhusu utoaji wao...kwao chop chop money i don care ndo kauli mbiu yao...
no 5.....wanaume wenye vitambi hawana
no 6....wana bahati ya kupata hela .wengi wana hela hela ila ndo hivo zinaishia kwa wanawake...misosi na pombe na michemsho.
no 7....ziro in bed
source.saloon ya wamama!
Ebu malizia hapo namba 5.. wenye vitambi hatun.... err i am sorry, hawana nini?
 
Umeshaambiwa saloon ya wamama

'Saloon ya wamama' ni taasisi? Kwanza 'saloon ya wamama' ni umoja. Yeye kasema "taasisi mbalimbali duniani".

Utafiti umefanywa na 'saloon ya wamama' au yeye kasikia kutoka huko kwenye hiyo 'saloon'?
 
hata mwanamke akiamua kumsifia jamaa yake mumuone yupo vizuri utasikia nimepata bonge la bwana kitambi kule... blah blah kibao ...kama mwembamba hawezi kusifiwa
 
wazani kulea kitambi mchezo?kwahitaji hela atiiii

umeona eeh? watu wanashupalia tu oh kitambi sikipendi kumbe hana uwezo wa kuwa nacho! wengine miili yao haina shukrani inanenepa kwa ndani hata alishwe kwa mirija

mi siwezi kukiondoa bhana manake kinanipa heshima sana benki kuomba mikopo na kuhudumiwa vizuri ofisi mbalimbali teh teh!
 
pia unajenga heshima kwa wanawake
 
ImageUploadedByJamiiForums1375626626.339549.jpg
....haya bana.

no .1...utafiti uliofanywa na taasisi mbalimbali duniani unaonyesha katika kila wanaume 10 wenye vitambi 8 wanamiliki nyumba ndogo.
no 2......pia ilibainika wanaume wenye vitambi wana ushawishi mkubwa kwa wanawake yaani wanakubaliwa haraka..labda wanawake wanadhani hivo vitambi vyao vimesheheni mifwedha na kuwakataa ni sawa na kupiga gunia la hela pesa.kwa hiyo huwa wanakubaliwa haraka sana.
no 3........wanaume wenye vitambi wanajali sana nyumba zao ndogo kuliko hata familia zao...hawaogopi lolote wakihamia ni wamehamia...kwao liwalo na liwe
no 4......wanaume wenye vitambi ni wafujaji wa hela kwa kifupi sio watu wa kuujali saana kuhusu utoaji wao...kwao chop chop money i don care ndo kauli mbiu yao...
no 5.....wanaume wenye vitambi hawana
no 6....wana bahati ya kupata hela .wengi wana hela hela ila ndo hivo zinaishia kwa wanawake...misosi na pombe na michemsho.
no 7....ziro in bed
source.saloon ya wamama!
 
Aah jitu tumbo limeenda mbele lazma nanii irudi back bana
 
Wewe Smile no 5 na 7 ngoja waje, usipokimbia hili jukwaa sijui!
umeona mkuu mimi mwenyewe nina kitambi na nina kampuni yangu , lakini sizioni hizo sifa hata moja kwenye bed ndiyo usiseme labda aje atest zali . pay ninayo nyumba ndogo sina , kunywa sinywi pombe labda maziwa , kilo 120 presha sina gym kwa sana nafuga kuku wa kizungu wana ni keep bize 24hrs , sasa huyu ameachwa na demu ambaye boss anakitambi anataka ku discourage issue ya vitambi . na isitoshe kitambi mimi nafikri kinakuja automatic tu wala huwezi kukilazimisha ila kwa mshamba ndiyo anaona sifa
 
Back
Top Bottom