grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Mimi nina kitambi lakini mbona kama ni mtihani nitapata 10%?
1. Sina
2. Hapo kidogo kuna kaukweli maana mke wangu alinikubali na bado ananikubali
3. Sina hata hiyo nyumba ndogo.
4. Hawana nini? Mbona hujaeleza
5. Hiyo ni kweli hela napata lakini huwa najishangaa kupenda kuchunwa na mke wangu tu.
6. Nani alikwambia wote wako hivyo, mimi mpaka mke wangu ananipangia ratiba kutokana na usumbufu wangu.
Look how handsome I'm:
1. Hapo nilikuwa naenda job
2. Huyio ni mdogo wangu alikuja kunitembelea, hapo anamsaidia kazi ndogo ndogo shemeji yake.
3. Hapo nikiwa shopping na Mama watoto.