Mwanamke, taja changamoto za vitambi kwa wanaume!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Habari!

Kwa lengo la kuelimishana, ili kusudi palipo pazuri paendelezwe na palipo na dosari parekebishwe.

Ewe mwanamke, ni changamoto ipi ulikutana nayo ama unakutana nayo kutoka kwa wanaume wenye vitambi?

Siku zote zimekuwa zikitolewa changamoto kutoka upande mmoja tu wa wanawake, leo nao uwanja ni wao wafunguke changamoto za wanaume wenye vitambi.

Sarafu ina pande mbili!

Haya, uwanja ni wenu mjimwage!
Karibuni sana akina dada, tunaahidi kufanyia kazi maoni yenu ikiwa mzani hautokuwa upande wetu.
 
Back
Top Bottom