Sifa mbaya za makabila yetu

Du mkuu hapo sikubaliani na wewe, kama uchawi basi ni makabila yote tu ni wachawi, lakini mbona wajomba zangu
ni watu poa tu!
Kama ni ivyo basi. Hata kwenye umalaya sio kwa Wanyakyusa peke yao hata makabila yote yanafanya umalaya Sema makabila haya siku izi kwa umalaya hawajambo Wazaramo, wamatengo, watanga, warangi, wachaga, waarusha, wagogo, wanyiramba na wasandawe
 
Hii sio kweli, Wasukuma sio wachawi, bali wanauchukia mno uchawi mpaka mtu akituhumiwa tuu kwa uchawi, huuliwa. Kesi ya Mauji Mwanza na Shinyanga, ni uthibitisho wa chuki ya Wasukuma dhidi ya vitendo vya uchawi.

Tabia mbaya za Wasukuma, ungesema
1. kupenda wanawake weupe matokeo yake wanapenda zaidi ya mwanamke mmoja.
2. Kuwa na moyo wa upendo kupindukia, matokeo yake mioyo yao inakudondokea, hawaoni, hawasikii.
3. Wana roho nzuri kuvuka mipaka, matokeo yake ni watu wa kutumia, mwaga offa na kuhonga sana, hivyo kupata maendeleo kidogo.
4. Wanapenda sana lile somo kupindukia, matokeo yake, wewe kama ni mwanamke, ameolewa na Msukuma chapa ng'ombe, 'rigwaride rinaweza kumshinda'.
5. Wanawake wa Kisukuma, hawana wivu, hali inaopelekea kuwaachia waume zao kujivinjari watakavyo.
6. Wanapenda kufurahi sana, matokeo yake hupenda sana starehe, kujirusha, na kilaji
7. Hawajali, ni ma don't care, matokeo yake wakilewa lazima waimbe, wakiimba lazima wapige kelele ambazo hugeuka bugudha kwa wenzao.
Mazuri yao.
Ni kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri Tanzania, wanaume wanaaongoza kwa kupenda, wanajua kuoa tuu, kuacha hawajui labda waachwe wao, na wanawake wanaaoongoza kwa uvumilivu, kushindia maji, kulala njaa na huku hawana wivu, Wasukuma wanaongoza!
Paskali
Nafanya tuu rejea kuhusu baadhi ya tabia mbaya za makabila yetu.

Paskali
 
Kwenye nyekundu tuko pamoja.

Wasukuma wakiwa wachawi
Je WAFIPA
WANGONI
WAHA
WADIGO
WAMAN’GATI
Mtawaitaje????
Mleta huu Uzi ana chuki binafsi tu
Wasukuma miaka yoote huitwa washamba
Mara tena wamekuwa wa chawi!!!
Kapige teke kifuu cha nazi tanga uone ka hakijakusemeshaau katongoze mke wa mtu sumbawanga kama hujaota. Kende kichwani
Utafiti wako Mkuu naupiga
 
Back
Top Bottom