Sifa mbaya za makabila yetu

Hawa hawana tabu kabisa ni wakarimu na ni wacha Mungu hakika! Labda kizazi hk cha leo wakazibadilishe.

mh! Barabara ya vumbi ni noma! Huku Kaskazini ukioa mrangi lazima uhame mtaa maana utadharaulika sijui kwanini hawajirekebishi jamani. Hakuna mwanamke anayejitambulisha kama mrangi ni aibu!
 
7.Makabila yakaayo Unguja na Pemba tuambieni habari zao

wapemba wanapenda sana ugomvi, kutembea na mausgeli na huwa wanazaa sana, hawajaiona nyota ya kijani.
Pia ni hodari wa kufuga majini na uchawi.
 
inasaidia kuleta utani kati ya makabila na kuondoa misuguano kati yao na kuongeza utaifa wetu
 
Hii sio kweli, Wasukuma sio wachawi, bali wanauchukia mno uchawi mpaka mtu akituhumiwa tuu kwa uchawi, huuliwa. Kesi ya Mauji Mwanza na Shinyanga, ni uthibitisho wa chuki ya Wasukuma dhidi ya vitendo vya uchawi.

Tabia mbaya za Wasukuma, ungesema
1. kupenda wanawake weupe matokeo yake wanapenda zaidi ya mwanamke mmoja.
2. Kuwa na moyo wa upendo kupindukia, matokeo yake mioyo yao inakudondokea, hawaoni, hawasikii.
3. Wana roho nzuri kuvuka mipaka, matokeo yake ni watu wa kutumia, mwaga offa na kuhonga sana, hivyo kupata maendeleo kidogo.
4. Wanapenda sana lile somo kupindukia, matokeo yake, wewe kama ni mwanamke, ameolewa na Msukuma chapa ng'ombe, 'rigwaride rinaweza kumshinda'.
5. Wanawake wa Kisukuma, hawana wivu, hali inaopelekea kuwaachia waume zao kujivinjari watakavyo.
6. Wanapenda kufurahi sana, matokeo yake hupenda sana starehe, kujirusha, na kilaji
7. Hawajali, ni ma don't care, matokeo yake wakilewa lazima waimbe, wakiimba lazima wapige kelele ambazo hugeuka bugudha kwa wenzao.
Mazuri yao.
Ni kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri Tanzania, wanaume wanaaongoza kwa kupenda, wanajua kuoa tuu, kuacha hawajui labda waachwe wao, na wanawake wanaaoongoza kwa uvumilivu, kushindia maji, kulala njaa na huku hawana wivu, Wasukuma wanaongoza!

Angalizo: Mimi sio Msukuma!.

No 7 nmecheka hadi nmeharibu kazi zangu!
Nkija tena Tz ntakwenda huko RCity.
 
Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.
Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia (inayoakisi sifa ya kabila lake) tutapata jamii safi isiyo na taswira mbaya na makabila yetu yote yataheshimika.
Nia ya bandiko hili si kutusi wala kukejeli kabila lolote ndio maana hata wewe unaruhusiwa kuweka kile unachokiona kwenye makabila mengine.

1. Wachagga-wezi
2. Wafipa-wachawi
3. Wazaramo- majungu
4. Wanyakyusa- ukabila, umalaya na kujisifu
5. Wahehe- kujinyonga
6. Wakurya- ukatili
7. Wajaluo- roho mbaya
9. Wahaya- umaalaya, kujisifu na kujisikia.
10. Wanyiha- wauaji
11. Wakinga- wachawi
12. Wasukuma - wachawi
Makabila ya pwani huko Tanga nayo yakoje?
 
Kuna wakerewe.
Hawa watu kwa uchawi ni soo,wanafuga sana mamba kama silaha za maangamizi.
 
Back
Top Bottom