Sifa mbaya za makabila yetu

Waarusha,
Ni wabinafsi, wadokozi, wachafu
wapenda kesi za mashamba
Hukojoa wakiwa wamesimama (wamama) hawavai kufuli
 
Hii sio kweli, Wasukuma sio wachawi, bali wanauchukia mno uchawi mpaka mtu akituhumiwa tuu kwa uchawi, huuliwa. Kesi ya Mauji Mwanza na Shinyanga, ni uthibitisho wa chuki ya Wasukuma dhidi ya vitendo vya uchawi.

Tabia mbaya za Wasukuma, ungesema
1. kupenda wanawake weupe matokeo yake wanapenda zaidi ya mwanamke mmoja.
2. Kuwa na moyo wa upendo kupindukia, matokeo yake mioyo yao inakudondokea, hawaoni, hawasikii.
3. Wana roho nzuri kuvuka mipaka, matokeo yake ni watu wa kutumia, mwaga offa na kuhonga sana, hivyo kupata maendeleo kidogo.
4. Wanapenda sana lile somo kupindukia, matokeo yake, wewe kama ni mwanamke, ameolewa na Msukuma chapa ng'ombe, 'rigwaride rinaweza kumshinda'.
5. Wanawake wa Kisukuma, hawana wivu, hali inaopelekea kuwaachia waume zao kujivinjari watakavyo.
6. Wanapenda kufurahi sana, matokeo yake hupenda sana starehe, kujirusha, na kilaji
7. Hawajali, ni ma don't care, matokeo yake wakilewa lazima waimbe, wakiimba lazima wapige kelele ambazo hugeuka bugudha kwa wenzao.
8. Wakikutana hata wawili tuu kwenye kundi la watu wa makabila mengine, wataongea Kisukuma bila kujali kuwa ofend hao wengine wote.
9. Kule Usukumani mfano wilaya ya Bariadi mkoani Shinyanga, lugha rasmi ni Kisukuma kitupu hadi madukani na maofisini hadi ofisi za serikalini.
10. Ni washamba sana, wana poor dress code!.
Mazuri yao.
Ni kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri Tanzania, wanaume wanaaongoza kwa kupenda, wanajua kuoa tuu, kuacha hawajui labda waachwe wao, na wanawake wanaaoongoza kwa uvumilivu, kushindia maji, kulala njaa na huku hawana wivu, Wasukuma wanaongoza!

Pasco
Hili la Wasukuma kuhutubia Kisukuma ni kweli
Niko mkutano wa CCM, nikianzia umati wa watu, ukilinganisha na Chadema, sio siri CCM cha Mtoto!.
Kama watu niliowana mkutano wa Chadema ni wapiga kura kweli, basi kwa mara ya kwanza nakiri kuwa CCM itapigwa chini mjini Busanda. Vijijini, sijajua.

Hakuna Ob yoyote ya TBC, hivyo hakuna live TBC-1 labda TBC-Taifa mlioko huko sikilizeni.

Kampeni za Mwisho za CCM mdororo!.
Tambwe Hiza kachemsha eti Rais Bush kamwalika Jk!.
Waziri Masha kagoma kupanda Jukwwaani.

Mgombea wa CCM Mama Bukwimba hana uwezo wa kujieleza.
Kama wanaBusanda wanachagua mtu na sio chama, basi Mbunge ni Magesa. Lakini kwa vile wanachagua vyama, hata mgombea wa chama awe bomu vipi, chama kitambeba.

Mhe. Magufuli amepanda jukwaani anamwaga kikabila Kisukuma mwanzo mwisho kujibu mapigo ya Shelembi. Magufuli anashangiliwa sana, sasa anamwaga sumu kali dhidi ya Chadema kwa lugha ya Kisukuma.
Anamnadi vizuri mkombea wa CCM.

Leo sijaona wazomeaji.

Kwa vile campain hizi za CCM zinaboa, sitadumu hapa kwa muda mrefu, nitaelekea kampeni za CUF na kumalizia na kampeni za UDP.
Nimesikia mahali Mchungaji Gwajima amehojiwa kwa kuhamasusha ukabila. Sheria yetu ya uchaguzi inakataza kabisa watu kuhutubia kwa kilugha katika mikutano ya kampeni za uchaguzi, hicho nilichoeleza hapo ni kitu ambacho nimekishuhudia kikifanyika, maofisa wa NEC wakiwepo, OCD na polisi wake wakiwepo, and nothing was done about this na kuna watu wanadhani baadhi ya watu kuhutubia kwa lugha za Kisukuma wameanza leo. Hili ni bandiko la mwezi May, 2009, miaka 11 iliyopita!. Sasa leo Gwajima anapoyasisitiza haya kosa lake ni lipi?.
P
 
Back
Top Bottom