Hiyo namba sita, umekosea ulitakiwa kusema... Hasira kama ukiwachokozaNimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.
Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia (inayoakisi sifa ya kabila lake) tutapata jamii safi isiyo na taswira mbaya na makabila yetu yote yataheshimika.
Nia ya bandiko hili si kutusi wala kukejeli kabila lolote ndio maana hata wewe unaruhusiwa kuweka kile unachokiona kwenye makabila mengine.
1. Wachagga-wezi
2. Wafipa-wachawi
3. Wazaramo- majungu
4. Wanyakyusa- ukabila, umalaya na kujisifu
5. Wahehe- kujinyonga
6. Wakurya- ukatili
7. Wajaluo- roho mbaya
9. Wahaya- umaalaya, kujisifu na kujisikia.
10. Wanyiha- wauaji
11. Wakinga- wachawi
12. Wasukuma - wachawi