Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

naona hujasafiri miji mingine ukaona. kama kuna majiji mengine mbali na dar basi na mbeya imo tena kwa viwango vya juu labda baada ya mwanza. pita miji ambayo bado sio maj

hivi Tanga, Arusha na mbeya lipi jiji?
tanga sijafika..ila arusha ni bora kuliko mbeya Mara mia
 
Sasa umeponda mbeya unaiweka tanga ktk list are u serious??

Jiji Tanzania ni dar my b Mwanza kidogo

Mbeya,arusha ni zilezile tembea uone usidate nayale magorofa pale katkat


Tanga kuna mini sasa,kahama tu inapita kabisa,

Tz n mbovu aisee kipind sijafika moshi nilikua n binge la sehem.nilipotembelea nikakuta moshi hainatofaut na Bukoba kabisaa

Mkoa unakuja vizur ni Dodoma umepangiliwa vizur sana

Mengine pumba tuu
 
Unauhakika na unacho kizungumza?
Halafu mi sipangiwi nianzishe Uzi wa namna gani na mtu yeyote maana bando ni langu ,simu ni yangu na chaja niliyotumia kuchaji hii simu ni yangu pia
Kama unaona mada inakuboa pita wima tusitiane unajisi mapema hivi!

Umetoa wapi umeme wa kuchaji simu kama Mbeya hakuna umeme?
 
Hapana kigezo cha kuwa jiji
Maana population and economic activities bado haifikii mbeya ata robo
Mbeya una population na ni mji wa kibiashara kama ulivyo dar na kwanza
Arusha na uzuri wote bado siyo jiji
Iringa bado sana
hivi Arusha bado haijawa jiji?
 
Hapana kigezo cha kuwa jiji
Maana population and economic activities bado haifikii mbeya ata robo
Mbeya una population na ni mji wa kibiashara kama ulivyo dar na kwanza
Arusha na uzuri wote bado siyo jiji
Iringa bado sana
Hata Njombe na Mafinga karibu unaipita Iringa town,eti ndo kawe kajiji.
Manispaa za Morogoro na Dodoma ndizo pekee zimekidhi vigezo vya kuwa majiji kwa standards za Tanzania kwa sasa
 
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,

Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.

Nawasilisha.

nn sifa ya kuwa jiji?

kipi mbeya inakosa kati ya hivyo vigezo?
 
Back
Top Bottom