ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Vingine vipi unavyovitaka ww na havipo mbeyaKinacho ifanya mbeya kuwa jiji ni idadi ya watu(population) tu hamna kingine
Vingine vingine ni ulimbukeni wa ccm kutaka sifa
Shithole city.
Vingine vipi unavyovitaka ww na havipo mbeyaKinacho ifanya mbeya kuwa jiji ni idadi ya watu(population) tu hamna kingine
Vingine vingine ni ulimbukeni wa ccm kutaka sifa
Shithole city.
Vyote hivyo umevitaja havipo au kuna maana gani,sijakuelewaBarabara
Maji
Hospitali
Umeme nk
Maeneo yapi ya jiji la Mbeya hakuna umeme na maji.Barabara
Maji
Hospitali
Umeme nk
Huko isyesye na makunguru hakuna nn,hebu funguka kwa kujiamini na unachoandikaisyesye... Makunguru.... Mbaya inachekesha kwakwl japo kuna vgezo so Ina haki ndio maana ikaitwa jj
Huduma zipo ila ktk viwango vya chini sana.. Pia sifa za jj la mbeya (green city) zinavyovumishwa na uhalisia wenyewe ni tofauti kabisa. Labda kwa idadi ya watu, unaposema kwan isyesye hakuna nn kwahyo hata geita tuite jiji maana kila kitu kipo piaHuko isyesye na makunguru hakuna nn,hebu funguka kwa kujiamini na unachoandika
Baelezee baelezee mkuu,!!!!!?Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.
Nawasilisha.
Wajanja ni wezi....ama unamaanisha nini???Mbeya wajanja wengi ni kama arusha
Viwango vya chini ukilinganisha na jiji lipi,nani anayevumisha au zinavuma zenyewe?,kizuri kinajitangazaHuduma zipo ila ktk viwango vya chini sana.. Pia sifa za jj la mbeya (green city) zinavyovumishwa na uhalisia wenyewe ni tofauti kabisa. Labda kwa idadi ya watu, unaposema kwan isyesye hakuna nn kwahyo hata geita tuite jiji maana kila kitu kipo pia
umesahau [HASHTAG]#mbeya[/HASHTAG]Dar
Mwanza
Arusha
Tanga
Hivi unakumbuka ni uzi wa ngapi unaanzisha kuhusu jiji la mbeya?Barabara
Maji
Hospitali
Umeme nk
Hata ujinga hauko wapambeBaelezee baelezee mkuu,!!!!!?
Mji sio lazima maghorofa. Mji wa mbeya umepanuka sana ila majengo mengi ya kizamani. Nilikuwa pale june mwaka jana.
Idadi ya watu pia inaongeza sifa ya mji kuitwa jiji. Mbeya watu ni wengi
Fungua profile langu angalia kama kuna Uzi nimewahi kuanzisha kuhusiana na mbeya halafu urudi uniambieHivi unakumbuka ni uzi wa ngapi unaanzisha kuhusu jiji la mbeya?
Mkuu huna mambo mengine ya kujadili mpaka ujadili mbeya kuwa jiji
Unapata faida gani kujadili mbeya kuwa jiji
Unapata hasara gani mbeya kuwa jiji
Ukijibu hayo maswali nitakuuliza na mengine
Sina haja ya kurudi kukujibu maana ulianziasha kwa id nyingine tukawa tunachangia kuna mdau akawa anatuma picha za iringa akawa anafanaisha na mbeyaFungua profile langu angalia kama kuna Uzi nimewahi kuanzisha kuhusiana na mbeya halafu urudi uniambie
SIFA KUU NI UJENZI HOLELA NA WA HOVYO HOVYO. WINGI WA WATU KAMA NDIO KIGEZO BASI BALAA
ni mbeya tu kuna ujenzi holela??? Unauhakika na unacho kizungumza?Sina haja ya kurudi kukujibu maana ulianziasha kwa id nyingine tukawa tunachangia kuna mdau akawa anatuma picha za iringa akawa anafanaisha na mbeya
Nakushangaa leo umekuja na hili tena