Mkuu,hapo ni tofauti kabisa. Hizo Domestic Revenue Collection Regionalwise na siyo kwa Mji. Bahati moja ya Mkoa wa Dar ni mji,ambao eneo lote ni Towns(Metro) na eneo lingine ni City Proper. Sasa kwa mfano wa hizo za Mbeya ni hela zote za Mbeya Mjini,za Tunduma(takwim hizo Tunduma ilikua Mbeya,kwa sasa iko Songwe),Mbarali,Mbozi,Kyela,Chunya,Rungwe nk. Hivyo nadharia yako hai reflect hadhi ya jiji la Mbeya kuwa ndiyo chanzo cha Mbeya ya wakati huo kuwa ndani ya Tano Bora kukusanya mapato,bali ni mkoa mzima.moja ya sifa ya mkoa kupewa hadhi ya JIJI ni makusanyo ya mapato na uzalishaji
nahisi nitakuwa nimekusaidia mleta uzi ni kwann mbeya ilipewa hadhi ya jiji..
kilichobaki fanya homework yako ya mikoa inayoongoza kukusanya mapato hapa tz na ukishaiona Mbeya ipo nafasi ya ngapi nahisi utarejea maelezo yangu ya juu kabisa pale
nautakuwa umepeta jibu lako
hii chini ni ripoti ya BOT ya mwaka 2013
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
na hayo ndiyo majiji matano kwa hiyo hadi hapo umeshajua hadhi ya jiji inatona na nini
Kwanza,kwa mzunguko,Tunduma ilikua inaizidi au kufanana na Mbeya Mjini(jiji) kwa mzunguko wa pesa hasa kwa biashara.