Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,534
- 32,757
mkuu Tanzania majiji ni 2 tu Dae es salaam na mwanza nayo kidogo hayo mengine yamekuwa majiji kwa vigezo vya CCM!
Yapo ma4, Dar, mwanza, mbeya na Tanga, sijui kama Arusha lilitangazwa kuwa jiji
Hata mimi sioni sababu ya mbeya kuitwa jiji mala dufu na sumbawanga bora ingeitwa jiji kulikoni mbeya.....naona hujasafiri miji mingine ukaona. kama kuna majiji mengine mbali na dar basi na mbeya imo tena kwa viwango vya juu labda baada ya mwanza. pita miji ambayo bado sio majiji kisha linganisha na mbeya
hakuna jiji pale..jiji gani unalimaliza kwa baiskeli chini ya nusu saaMji sio lazima maghorofa. Mji wa mbeya umepanuka sana ila majengo mengi ya kizamani. Nilikuwa pale june mwaka jana.
Idadi ya watu pia inaongeza sifa ya mji kuitwa jiji. Mbeya watu ni wengi
jiji ni dar na mwanza tu..ukipanda daladala stand ndani ya dk 10 ushafika njiro..jiji gani!?..Majiji yapo mawili tu Dar na Arusha huko kwingine ni maporini tu
Mkuu moja ya sifa ya kupandisha hadhi ya mji, au jiji ni idadi ya wakazi wa sehemu husika,Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.
Nawasilisha.
Tokea Mkspa, Jakaya na sasa John Pombe, wamekataa kimkakati kuwekeza kiserikali kwa miradi yoyote Mbeya.Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.
Nawasilisha.
naona hujasafiri miji mingine ukaona. kama kuna majiji mengine mbali na dar basi na mbeya imo tena kwa viwango vya juu labda baada ya mwanza. pita miji ambayo bado sio majKama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.
Nawasilisha.
hivi Tanga, Arusha na mbeya lipi jiji?hakuna jiji pale..jiji gani unalimaliza kwa baiskeli chini ya nusu saa
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.
Nawasilisha.
Unawivu tu na mbeya. Inaonyesha hata civics form two hukusoma wewe. Hili jiji lina watu karibia laki7 ulitegemea paitwe tarafa au klasta
Zanzibar kwa kina kiringo......Mkuu moja ya sifa ya kupandisha hadhi ya mji, au jiji ni idadi ya wakazi wa sehemu husika,
Wakati Mbeya ilipopata hadhi ya jiji wakazi wake kwa Mbeya mjini walizidi 300,000
Hivyo kuvuka kiwango cha kuwa manispaa.
Ndiyo maana utaona mji kama Zanzibar bado ni minispaa kwa sababu idadi ya wakazi wake haijafikia kultwa jiji.
Narudia sijawahi waelewa nn hawa jamaa wanataka,ina banks karibu zote,ni makao makuu ya kanda ya nyanda za juu kusini na inajengeka tena na wa kazi WA MBEYAMbeya mjini ni kuanzia uyole mpaka mitaa ya iyunga, pote ni mbeya mjini.... Sa tuanze na miundombinu kuna barabara ya lami, lkn zipo barabara za lami za pembezon mwa main road ili kuopt folen, kutoka ilomba, mwambani, chuoni teku, mpaka kabwe, lkn ipo ya kutoka ilomba mpaka veta, bado kuingia tanesco, mpaka unaingia mjini kwa barabara za lami, ina stendi kubwa tatu, kuna soko la kimataif,.....huduma za jamii shule za advance na sekondari zipo nyingi sana mbeya, vyuo vikuuu karibu 10,hospital ya rufaa, pamoja na meta na zingine ndogo ndogo, biashara kwa hili halina ubishi mbeya biashara ni nyingi na mzunguko wake ni mzuri, idadi ya watu ni takriban milioni tatu, lkn mbeya inaunganishwa na barabara za lami kutoka kila wilaya, pia ina boda tatu kubwa pamoja na bandari..... Ni vingi sana vinavyoipa mbeya kuwa jiji.... Ila kasora ya mbeya haijajengwa kwa mpangirio, suala amabalo sio mbeya tu ni kila Sehemu hapa Tanzania.... Umeme mbeya mjini ukikta basi haizi sa 3, suala la majimbeya wapo vzur wametap kutoka mto ivumwe apo na miliman kule ,maji hayakatagi
.....mazao ndo kibao, sasa wewe unataka nini ili ndo ujue mbeya ni jiji?
We ni msafwa au mundali.ulitaka iwe kitongoji?gwa kughu ugwe??Hata mm ni mwenyeji wa mbeya ukijaji kwa huduma za kijamii na miundombinu na madhari kweli mbeya haistahili kuwa kijij hata kidogo ila kwa Kigezo cha watu basi wanastahili
Uzuri wa??hapo pataendelea kuwa town tu,,kuhusu uzuri hakuna sehemu inazidi Njombe nchi hii so is not a big dealYani Iringa Town ni pazuri kuliko Mbeya
Arusha badoYapo ma4, Dar, mwanza, mbeya na Tanga, sijui kama Arusha lilitangazwa kuwa jiji
Yani Iringa Town ni pazuri kuliko Mbeya