Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,086
- 5,142
Usiilinganishe Arusha na Mbeya aisee. Mbeya Bado Sana kwa Arusha. Miundo mbinu ya barabara Mbeya imeachwa Sana sana na Arusha. Hata ubora wa nyumba za biashara na makazi pia. Kwa population Mbeya inaikaribia Arusha kidogo. Mbeya Wana barabara moja tu ya TANZAM highway na biashara zote muhimu zipo along this road.Sio Mbeya tu hata Arusha is overrated nguvu inayowekwa kwa sasa Dom ilitakiwa iwekwe kwenye hzo Manispaa zenye watu wengi la sivyo Dom itayapita hayo majiji uchwara very soon