Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,143
- 2,275
Huyo jamaa aliesema watu karibia laki 7 anaota yaani watu laki 7 upewe jiji wakati hao watu hata wilaya moja ya mbeya inahao watu angesema mbeya inawatu ml 5 hadi 6 nmgemuelewa maana naskia dar ndo jiji linaloongoza kwa idada kubwa ya watu na inayofuata ni hiyo mbeya kisha mwanza sasa kama inafuata kuifikia dar kwa idadi ya watu iweje ile laki 7 tu!?? Dar ina watu karibia mil 7 maana yake wikaya 1 ya jiji la dar inawatu mil 1 na usheheItakuwa milioni 7...Sugu tu amepigiwa kura za ubunge million 2+ Most voted MP