Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

Mbeya ina nyota zangu tano katika hali ya hewa na upatikanaji wa chakula .

Jiji hili miundombinu kama barabara ni chache. Barabara ni moja tu ya kuingia na kutoka nje ya mkoa pia nyembamba hivyo husababisha jam sana mida ya jioni.

Kuna traffic lights sehem moja tu..
Ikifika saa tatu tu hiace ni changamoto. .
Ikifika saa nne tu maduka au vibanda vya mpesa vinavyokuwa wazi ni vya kuhesabu .
Kifupi Jiji limepoa sana
Katika comment yako sijaona hata kigezo kimoja kinachotumika kuufanya mji kuwa jiji!
 
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,

Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.

Nawasilisha.

HABARI,
"evart,
Ndugu kama hujui sifa zinazofanya mji kuwa jiji kamwe huwezi kuelewa na unaonekana hutaki kuelewa nivema ungeuliza hapa kwanini mbeya imekuwa jiji watu wangekupa majibu mengi na ungeelewa.

Nikusaidie hii nimetoa humu janvini iliwekwa na mtu mmoja anaitwa GreenCity Aug 4, 2012 mengi aliyoyasema nimekubaliana naye ila namba 9 kidogo kwangu haijakaa vema.

UNISOME KWA MAKINI HAPA:
1.Population: Mbeya ni ya tatu baada ya mwanza na dsm.
2. Huduma za afya: mbeya(rufaa) inahudumia mikoa ya iringa, rukwa, songea
3. huduma za fedha: mbeya ni kati ya mikoa 5 yenye B.O.T tangu awamu ya pili.
4. Transportation: mbeya ina aina zote za usafiri kama reli, barabara, maji kwa ziwa nyasa na rukwa, ndege n.K.
5. Financial inst: mbeya ina zaid ya aina 15 za mabenk.
6. Elimu: mbeya ni ya 2 kwa wingi wa shule za a-level. Na ya 3 kwa o-level.
7. Biashara: mbeya inamiliki bourder kubwa kuliko zote tanzania.
8. Mapato: T.R.A Mkoa wa mbeya imekuwa ikivuka malengo ya ukusanyaji kwa zaidi ya miaka 10 sasa.
9. Nyakyusa: ni kabila la nne kwa ukubwa baada ya sukuma, chaga, na haya.
10. Urban area: mbya mjini ina makazi ya kudumu mengi ikifuatia kwa mwanza baada ya dsm.
11. Chakula: mbeya is the greatest food producer in tanzania.

LUMUMBA
 
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,

Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.

Nawasilisha.
Wewe itakuwa ni mwenyeji wa Mby, lkn jiji la Mbeya hulifahamu vzr.Mbeya ni jiji kama yalivyo majiji mengine ya Tz
 
Unauhakika na unacho kizungumza?
Halafu mi sipangiwi nianzishe Uzi wa namna gani na mtu yeyote maana bando ni langu ,simu ni yangu na chaja niliyotumia kuchaji hii simu ni yangu pia
Kama unaona mada inakuboa pita wima tusitiane unajisi mapema hivi!
Wewe umeulizwa swali, jibu kiume basi mbona unaleta mipasho kama ya demu alieanzisha uzi wa kutompangia matumizi papachi yake?
 
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,

Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.

Nawasilisha.
Vigezo na masharti vimezingatiwa
 
Toa sababu za msingi basi
He who alleges must prove! Umetoa tuhuma za kupinga Mbeya kuwa jiji, sasa thibitisha ni kigezo kipi hakijafuatwa!

Sheria ya Ushahidi Tanzania Re:2002, kifungu cha 110!
 
Naishi mbeya mjini
Mbeya mjini ni kuanzia uyole mpaka mitaa ya iyunga, pote ni mbeya mjini.... Sa tuanze na miundombinu kuna barabara ya lami, lkn zipo barabara za lami za pembezon mwa main road ili kuopt folen, kutoka ilomba, mwambani, chuoni teku, mpaka kabwe, lkn ipo ya kutoka ilomba mpaka veta, bado kuingia tanesco, mpaka unaingia mjini kwa barabara za lami, ina stendi kubwa tatu, kuna soko la kimataif,.....huduma za jamii shule za advance na sekondari zipo nyingi sana mbeya, vyuo vikuuu karibu 10,hospital ya rufaa, pamoja na meta na zingine ndogo ndogo, biashara kwa hili halina ubishi mbeya biashara ni nyingi na mzunguko wake ni mzuri, idadi ya watu ni takriban milioni tatu, lkn mbeya inaunganishwa na barabara za lami kutoka kila wilaya, pia ina boda tatu kubwa pamoja na bandari..... Ni vingi sana vinavyoipa mbeya kuwa jiji.... Ila kasora ya mbeya haijajengwa kwa mpangirio, suala amabalo sio mbeya tu ni kila Sehemu hapa Tanzania.... Umeme mbeya mjini ukikta basi haizi sa 3, suala la majimbeya wapo vzur wametap kutoka mto ivumwe apo na miliman kule ,maji hayakatagi
.....mazao ndo kibao, sasa wewe unataka nini ili ndo ujue mbeya ni jiji?
 
Sifa za kuwa jiji:
1. Kujitegemea kwa 75% katika bajeti yake kwa matumizi ya kawaida ya ndani.
2. Idadi ya watu katika mji unatarajiwa kutangazwa kuwa jiji.
3. Ukubwa wa biashara(viwanda)
4. Lazima kupitia hadhi ya manispaa.
 
MKUU MIMI SIISEMI MBEYA ILA TZ YOTE NI SHIT! HATUNA HATA JIJI MOJA ILA TUNA MAENEO FLANI FLANI TU YENYE MWELEKEO WA KUFANANA NA JIJI. HAYA TUNAYOITA MAJIJI KARIBU YOTE NI KISIASA TU NA UTASHI WA WATU FLANI.
Pesa za kurudia uchaguz zipo ila za kupima maeneo hakuna,
 
Back
Top Bottom