ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,261
How? In which spheres?tanga sijafika..ila arusha ni bora kuliko mbeya Mara mia
How? In which spheres?tanga sijafika..ila arusha ni bora kuliko mbeya Mara mia
Wachache sana wanaujua huo ukweli! But, that's it!Tokea Mkspa, Jakaya na sasa John Pombe, wamekataa kimkakati kuwekeza kiserikali kwa miradi yoyote Mbeya.
hata angekuwa pale jijiSasa wewe upo Ubaruku, Mabogobogo na Ihefu hayo mengine utayajuaje?
anabishia uzoefuPunguza mihemko !
Mimi ni mwenyeji kabisa hapa mbeya mjini
sio iziwa?Wewe utakuwa unaishi sokomatola
OKHata kuingia Tamisemi umeshindwa,Arusha is a city
watu n wengi ila mpango mj wa hovyoMji sio lazima maghorofa. Mji wa mbeya umepanuka sana ila majengo mengi ya kizamani. Nilikuwa pale june mwaka jana.
Idadi ya watu pia inaongeza sifa ya mji kuitwa jiji. Mbeya watu ni wengi
mpango mji wa hovyo nenda itagano iziwa uyole kati iduda kijjin fullUnawivu tu na mbeya. Inaonyesha hata civics form two hukusoma wewe. Hili jiji lina watu karibia laki7 ulitegemea paitwe tarafa au klasta
jiji n pale mjin kwa sugu tu sio mkoa woteAta mimi mkazi wa mbeya lkn sijui walitumia kigezo gan kuupa jiji?
Ukiiacha uyole kuja mbarali ni mapori 85%
Bora walivyougawanya labda
n kweli watu wengi ila mpango mji wa hovyo nyumba za tope iziwa,mwasenkwa,itendeHata mm ni mwenyeji wa mbeya ukijaji kwa huduma za kijamii na miundombinu na madhari kweli mbeya haistahili kuwa kijij hata kidogo ila kwa Kigezo cha watu basi wanastahili
Mkuu nami najiunga kusema hujajua kitu gani kinafanya mkoa kupewa hadhi kuwa jijiKama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.
Nawasilisha.
Jiji gani bongo kuna mipango mji mzuriwatu n wengi ila mpango mj wa hovyo
Swali langu,jiji gani ambako hayo yote yapo?anabishia uzoefu
mm mbeya nimekaa miaka karib 7 mipango miji WAP hovyo stand kuu ile n aibu,hata nanenane nako hakna jengo LA abiria
Nyumban za tope ziko maeneo mengine ya majiji pia mfano ilerai arusha,burka etc so sio mbeya tun kweli watu wengi ila mpango mji wa hovyo nyumba za tope iziwa,mwasenkwa,itende
cjawahi on a jiji lenye stand kuu mbovu kama hiyoSwali langu,jiji gani ambako hayo yote yapo?
moshi imetimiza vigezo vyote isipokuwa kigezo cha ukubwaHivi ule mpango wa Moshi kuwa jiji uliishia wap???
Ok,saw saw...asante kwa hbr nzr.so ndo maana now naona wanatanua eneomoshi imetimiza vigezo vyote isipokuwa kigezo cha ukubwa
wapo ktk mchakato wa kulipa fidia maeneo ya kia ili eneo liwe LA mosh
yaapOk,saw saw...asante kwa hbr nzr.so ndo maana now naona wanatanua eneo