Sio Mbeya tu hata Arusha is overrated nguvu inayowekwa kwa sasa Dom ilitakiwa iwekwe kwenye hzo Manispaa zenye watu wengi la sivyo Dom itayapita hayo majiji uchwara very soonHata mm ni mwenyeji wa mbeya ukijaji kwa huduma za kijamii na miundombinu na madhari kweli mbeya haistahili kuwa kijij hata kidogo ila kwa Kigezo cha watu basi wanastahili
Mbeya ni kijiji kikubwa full nyumba za topeTatizo mkifika mbeya mnafuata main road hamchepuki kuangalia huduma zilizopo jijini pamoja na shughuli za uchumi zinazofanyika!
Miundo mbinu hakuna yani TANZAM mwanzo mwisho nayo nyembamba full bodaboda, sehemu kubwa pabaya, sehemu za kula bata sijui mbili zile, yani hapa picha inayonijia ya jiji la Cairo, Doha, Nairobi na Dar nabaki nacheka tuSasa ww mtoa mada hii ulitaka Mby iwe wilaya au ubaki kuitwa mkoa? Maana hujaainisha kasoro ulizoziona za mko wa Mby kupewa hadhi ya kuitwa jiji! Weka wazi ili usaidiwe!
Tupe na idadi ya zile nyumba za topeSijawahi waelewa wanaoanzisha thread kuping mbeya kuwa jiji, sijui wanataka nini hawaeleweki,2014 ndo lift ya kwanza na jengo refu la kwanza likiwa na ghorofa sita lilizinduliwa,Leo yameongezeka mengi hadi 10flrs sasa nyie watu mnatakeje?

Ili majimbo ya fisiem yawe mengilabda tukuulize unazijua sifa za sehemu au mji kuupa rank ya jiji. ..kama unazijua tuambie? nakama huzijui badilisha swali lako , lisomeke hiviii naombaaa mnieleze sifa za mji kuwa jiji
kwahyo Mbeya kuna miundo mbinu bora?Sifa za kupaita mahali jiji ni idadi ya watu na Huduma bora za jamii kama vile maji safi,elimu ,miundombinu



Jiji ni mipango miji that's y naipenda Dom kuliko hzo takataka zingineWatu wa mipango miji hebu nipeni vigezo vya muhimu vya mji kuwa JIJI
MbeyaDar
Mwanza
Arusha
Tanga
Kuna vyote hvyo lakini mipango miji hakuna, hiiiiiiiiiiii in jiwe voiceWewe siyo mwenyeji nadhani ni mpita njia tu
Na kama mwenyeji basi uko muvwa uko ndani au isyonje au chimala
Au igulusi
Jiji alipimwi kwa wingi wa maghorofa mkuu
Bali ni economic activities( shughuli za kiuchumi) na siyo majengo
Pia population (idadi ya watu) hivyo baadhi tu mkuu
Nadhani mshangao wako itakuwa umeegemea maghorofa
Yani Ukitoa huku govt areas (Kwa Rc) Kwa wadosi na huku Tazara kuelekea Songwe na hali ya hewa na huo ukijani kuna nini tena cha maana?Narudia sijawahi waelewa nn hawa jamaa wanataka,ina banks karibu zote,ni makao makuu ya kanda ya nyanda za juu kusini na inajengeka tena na wa kazi WA MBEYA
Yale majengo ya mahakama kuu kanda ya MBEYA na BOT ni mazuri na yana iconic architecture hakuna mfano Tzn,,mazingira ni greenish second to Njombe,,nn tena wanataka
You're right Njombe nyumba za matofali ya kuchoma za gharama nafuu lakini zinavutia pamepangwa, ningekuwa natoka kanda hyo ningeishi NjombeUzuri wa??hapo pataendelea kuwa town tu,,kuhusu uzuri hakuna sehemu inazidi Njombe nchi hii so is not a big deal
Sifa anazijua ila anachosema Mbeya ni kubaya hapavutii kama majiji menginePost yako ulitakiwa uulize ni sifa zipi za mji kuwa jiji???
Kwa mujibu wa post yako ina maana una criticize Mbeya kuwa jiji means wewe ndo unazijua sifa za jiji.
Kwa kifupi kitu muhimu ni Mzunguko wa pesa, issue nyingine ni Population na factors nyingine
DodomaJiji
Jiji gani bongo kuna mipango mji mzuri
Sifa kuu za sehemu kuwa jiji ni universal labda chache za nyiongezaKosa kubwa nililoligundua ni kuwa watu tunatafsiri jiji kwa kuangalia majiji kama new york. Majiji nayo yanayo classifications zake, ingawa yote ni majiji.
Sifa anazijua ila anachosema Mbeya ni kubaya hapavutii kama majiji mengine