Aro anagalia nisije nikakupasua hilo bichwa nani jembe?
shemeji mzima weye
nilikwenda TFA kununua jembe wakaniuliza na mpini ?.......je walikosea au kiswahili sanifu kipi
Pole chardams ndio uanaume huo brother na ndipo unapo kamili uanaume wako kwa kuwajika komando wangu. Mie nime muachia bosi amalizie kazi zake mwenyewe
Hizi ndo hasara za kuishi hapo hapo ofisi hapo hapo, mi bosi mwenyewe kaisha jiondokea eti. huaga anasema i'll be in my room still i'll will check my email in case you need anything let me know.
poa banaJembe lingekuwa ni pamoja na mpini wake basi mpini usingeitwa mpini