Hii ni wrong conclusion kwa chuo chetu!
Kuna wengi hapa hatukusoma Mlimani lakini tunakipa heshima kubwa sana chuo chetu. Hii generalization ni wrong maana unaondoa fact kuwa Zitto Kabwe naye alikuwa kiongozi safi kabisa wa Daruso na ambaye anafanya kazi nzuri sana ya kutetea mali za nchi yetu!
Ndivyo ilivyo
kuwa na wrong conclusion kwa kusema CCM ni chama cha mafisadi
Mimi nakiri kua hii conclusion ni wrong na siwatendei haki wana udsm wengi ,vivyo hivyo mwafrika wa kike nawe nakuomba ukiri kua CCM sio chama cha mafisadi wapo wachache tu ila kuna wengi wana CCM hawajihusishi na ufisadi.
Samahani kwa kutoka nje ya maada lakini nafikiri ita bring sense ktk mjidala mingi.CU then