Siasa za Mbeya 2005-2010

Siasa za Mbeya 2005-2010

Mkuu, nothing personal nimeona niweke sawa kidogo hapo juu

That's why after being an observer from the sidelines for such a long time, I finally decided to plunge-in head-on and become a full fledged contributing member of this prestigious, if not controversial forum known affectionately and reverently as JF.

Masatu, you can take the liberty of correcting and educating me at any time and this effort should not be limited to my Kiswa-Sukuma only! You do this with grace and elegance instead of contempt and condescension. I like you style. It makes following the lesson a hell a of a lot fun if not completely delightful.

Contrast your style with that of Nemesis. It's like day and night. Please tell our good friend Nemesis that the rumors that somehow Saidhorizons might be "secretly" Ugandan are greatly exaggerated Even the Right Rev. Kishoka would testify to that My Sukuma elders are turning in their graves by the mere sound of that proposition! Shame on you!
 
Mutwa,

Naelewa una maana gani lakini ungesoma vizuri baada ya hiyo paragraph inayomwongelea huyo kijana kibarua, inayofuata kwa vyovyote inaongelea Mwakalinga mwingine. Soma hiyo ya kwamba hizo zilikuwa sms za Mwakalinga na vijana wake wa Kyela. Sidhani kama huyo kijana mwenyewe angeweza kuwa na vijana wake tena Kyela.

Of course uandishi wa hapa JF ni wa haraka haraka na wakati mwingine hata kwa msomaji ambaye hujasoma thread nzima ni rahisi kuelewa tofauti.

mkuu bambumbile,asante kwa ufafanuzi wako wa kueleweka na usio na jazba na ushabiki,
mimi niliposema siwapendi hao wagombea sikumaanisha nawachukia kwa sababu yoyote ile,namaanisha sina maslahi kati ya hao wote,ndio maana nikasema mambo ya kyela itakapofika uchaguzi yatakuwa juu yao wanakyela wenyewe.
nirudie tena asante mkuu.
 
Taarifa hii haijakaa vizuri. Nimeisoma halafu nakuja kugundua kuwa kinasa sauti wanayosema kumbe ni simu. Simu nyingi zina recording facility. Na ule ulikuwa mkutano wa hadhara na mtu kurekodi kwenye simu in mapenzi yake yeye. Hata aliyekimbia wakasema amekimbia akadondosha kisu ni kutengeneza tu habari ionekane Mwakyembe anatafutwa, nadhani Mwakyembe ana umaarufu wa kutosha na hahitaji hi petty petty publicity. Nadhani aliyekimbia hana uhusiano na aliyekamatwa na ndiyo maana yule wa simu walimwachia. Watu wakitaka kumdhuru Mwakyembe haiwezi kuwa ngumu kihivyo jamani. Hebu tumeni hoja zenye maana. Hata ile ya ajali ya gari walikuwa wanaikuza tu, kwani ni wangapi wanapata ajali na wamekufa kwa ajali? Mwakyembe na Salome Mbatia nani alikuwa na madaraka makubwa ya kiserikali? Mbona ajali ya Marehemu Salome haijakuzwa kihivyo? Vivyo hivyo ya Akukweti...
 
lazima waende na kisu maana yake walijaribu ajali wakashindwa, siunajua mwakalinga ndio alikuwa mzamini wa ile ajali

Mkuu Semilong,

Ungelikuwa umeshaishi au kupata habari za Eastern Europe, basi ungelielewa kuwa haya mambo ya kuuwana huko ni very simple. kuna hii mijaa ambayo ni Ex-KGB, inauwa mtu kama Obama alivyouwa Inzi na anatoka hapo happy kama hakufanya kitu. Ni kama Zombe anavyojisikia baada ya kutesa mtu (inawezekana hata baada ya kuuwa).

Kama Mwakalinga kakaa kweli Poland, basi angelikuja na njia ya maana ya kuuwa Mtu na siyo kutuma watu na kisu cha kukunja, na tena mbele ya umati wa watu. Muuwaji gani anauwa na ili baadaye WAMKAMATE? Hata mjinga wa aina gani na njaa zake asingelikubali. Hii huwa wanatumia CIA kwa kuchukua mtu aliyehukumiwa KIFO na kumpeleka kwenye mission ambayo NI LAZIMA AFE.

Hivi wewe unaona MAMVI ni mjinga wa namna hiyo? Au unafikiri RA na ujanja wake woote huo wakitaka kumuua Dr. basi watashindwa? Ndiyo maana USALAMA wa TAIFA sasa wataanza kulivaia njuga swala la Kyela maana huko vituko vimezidi. Mara mtoto wa Kikwete katishiwa kupigwa, mara watu wanataka kumuuwa Mwakyembe kwenye ajali na sasa kaja na KISU. Hili amecheza ovyo sana.

Kitendo cha kumteka KIJANA kwa kweli atakuwa na hali mbaya saana. Kama wale wapambe wake wakiitwa MAHAKAMANI, basi mambo mengi yatafumuliwa. Kama kwenye simu kutakuwa hamna hizo SMS za VIGOGO ambao nina uhakika na wao wanahaha sasa kufahamu kuna nini ndani wataanza kula na Dr sahani moja. Nina uhahika HUKUMU ITAWEKWA humu ndani ya JF ili isije ikaonekana GAZETI fulani limebadili maandishi. Waandishi wa Mengi nao kwa uongo wao wajiandae kwenda kwa PILATO.
 
According to many postahere from people with vested interest in the Kyela constituent, there will be a lot of foul play and wolf crying. Items found on the said victim are standard and in most phones. Whatever happened in the said Mwakyembe with his touts should not exagerate incidents to the level of disturbing peace and harmony in the constituents. It could turn out to be counterproductive.
 
Dr. ni mkweli, Mungu atamsaidia. Mwakalinga ana future nzuri, ni mtu ambaye namfahamu na tuko jirani sana. Kinachoniudhi hapa ni mlango aliopitia Mwakalinga. Otherwise he is a very polite and wise man. Kama angepita njia tofauti , anafaa tu kama ilivyo kwa Dr. Watu wa Kyela hawana tabia ya kujikomba kwa watu wenye hela chafu. Ni watu wanaojiamini kama walivyo. Hivi inakuwaje mtu ambaye amekuwa msitari wa mbele kupinga ufisadi anatumiwa na hao watu waliohujumu maendeleo ya Kyela? Mwakipesile ni kibaraka wa hao wanaomchukia Mwakyembe. Heri Mwakyembe hata kama wanasema hajaleta maendeleo, kuliko mtu ambaye anatumiwa. Please , Please George jiengue na hao watu na nitakupigia debe! Tena utakuwa umeweka Historia kwenye kata ya Katumba Songwe. One word " JIENGUE NA HAO MAFISADI" come clean we will be on your back. Hujachelewa......
 
Tatizo ni moja mkuu. UNA UHAKIKA kuwa anatumiwa??, GAM amejuana lini na Lowasa au RA?. Usituhumu bila kuwa na uthibitisho la sivyo utakuwa kama wale WaTanzania Mkapa aliosema WAVIVU WA KUFIKIRIA.

Wewe check hata hiyo habari ya CHOMBO CHA KISASA CHA KUNASIA SAUTI. Kumbe ni ka simu, sasa huoni kuwa wanamtungia mambo George?

Fikiria kidogo tu wangu utaelewa.
 
Dr. ni mkweli, Mungu atamsaidia. Mwakalinga ana future nzuri, ni mtu ambaye namfahamu na tuko jirani sana. Kinachoniudhi hapa ni mlango aliopitia Mwakalinga. Otherwise he is a very polite and wise man. Kama angepita njia tofauti , anafaa tu kama ilivyo kwa Dr. Watu wa Kyela hawana tabia ya kujikomba kwa watu wenye hela chafu. Ni watu wanaojiamini kama walivyo. Hivi inakuwaje mtu ambaye amekuwa msitari wa mbele kupinga ufisadi anatumiwa na hao watu waliohujumu maendeleo ya Kyela? Mwakipesile ni kibaraka wa hao wanaomchukia Mwakyembe. Heri Mwakyembe hata kama wanasema hajaleta maendeleo, kuliko mtu ambaye anatumiwa. Please , Please George jiengue na hao watu na nitakupigia debe! Tena utakuwa umeweka Historia kwenye kata ya Katumba Songwe. One word " JIENGUE NA HAO MAFISADI" come clean we will be on your back. Hujachelewa......

Do I need to add anything? U've nailed it down Nyumbu....tuko pamoja!
 
Mkuu,
Yaani unampigia DEBE Mwakyembe hadi nasikia HARUFU ya UNAFIKI. Tatizo umeingia kwa gia mbovu sana. Hakuna watoto hapa wanaoweza kununua huo upupu wako. Nenda kajipange upya na ndiyo uje.

Mwakyembe ni MKWELI? Mwanasiasa mweli ulimuona wapi? Kama mweli si aende kuwa Mchungaji? Ahadi kibao alizokuwa akitoa mwaka 2005 si alijua kuwa ANADANGANYA na milele hatakuja kufanya hivyo vitu? Mkuu, kama upo hapa usiwe na papara, mwakani kabla ya UCHAGUZI tutaweka kila kitu hapa. Mnapoandika huu upuuzi ndiyo kwanza mnatukumbusha tutafute data zaidi. Subiri mwakani MWALI aje aonyeshwe.

Mwisho ni kuwa: Kama uliona akipewa pesa na hao MAFISADI hebu tuwekee hapa. Kaanza kujenga KBS hata neno MAFISADI Tanzania halijaanza. Kaanza kujenga KBS hata Mwakyembe hajafikiria kugombea ubunge. Sasa hao mafisadi wanamsaidia mtu asiyehitaji msaada? Mkuu kama kweli uko Kyela au wee ni ndugu za Mwakyembe basi mwambie REDIO KYELA ikianza, mvae kabisa NEPI!!!! Ila msiwe na wasiwasi saaana kwani hiyo itakuwa RADIO KYELA na si RADIO MWAKALINGA. Hata Mwakyembe atapewa masaa kujinadi na kutangaza kampeni zake (kwa hela lakini). Akijifanya KUZILA kwa sababu Redio iko kwenye eneo la KBS, na aache. Lengo litakuwa ni kumuonyesha kuwa "MSHINDI AWE MWANA KYELA na SI MGOMBEA". Tukosane ila ukishaisha uchaguzi tubaki kuwa NDUGU. Tatizo ni yeye ambaye hata uchaguzi ukiisha, bado ANAWEKA DONGE.

Sasa KESI YA KUTEKA NYARA INAKUJA, hi hiiiiii hiiii Mtu Mzima ATAAIBIKA.

NB: Mkuu FP, hili jina la GAM, ni wachache wanalitumia. Basi naona mko karibu na huyo GAM mwenyewe. Tutakuwa wote mwakani Kyela.
 
Last edited:
Mpwa hapa umeharibu

Kama mweli si aende kuwa Mchungaji?

Hebu angalia mchungaji huyu

1252303370_wikiendafront.jpg

Yaani unataka Dr Mwakyembe afanye haya!
 
Do I need to add anything? U've nailed it down Nyumbu....tuko pamoja!

Masanilo,

Atakuja sasa Engineer akuambie "MPUMBAVU!!!" he heeeee namna hamuwezi kuishi bila KUKWARUZANA. Inanikumbusha watoto wawili tukiwa shule ya Msingi, walikuwa ni ndugu na wakienda kwa majina ya Kapona na Fadhili. Kila siku wakati wa kituo cha saa nne, walikuwa lazima watoke nje wapigane. Na kituo cha saa sita wanaenda wote nyumbani, kucheza pamoja nk. Kesho yake saa 4 asubuhi hao, wanavaana tena. Mwanzo wanafunzi/waalimu walikuwa wakiwaamulia na mwisho wakaamua kuwaacha. Walikuwa wakianza kupigana ile saa 4 asubuhi, watu hata hawaangalii.

Basi na mie niwe muangaliaji wa Mpambano wenu na Mhandisi...... Masanilo and Mhandisi, Let's get ready to the Rumble-oooooooohhhhhh!!!!!
 
Nilicho kigundua hapa wewe ni mmoja wa hao vijana, na kama unatumwa na mwakalinga sijui amekulipa ngapi. Nashangaa unaanza oh...mara kijana alikamatwa saa 8...mara oh...alifikishwa polisi saa 2 mara saa 3, yote hayo uliulizwa na nani?? Mara unasema safari hii mtu atafungwa!! ah... angalia unaweza kufungwa wewe kwa sababu huna immune na kifungo.

Hata kama humpendi mwakyembe mwache afanye shughuli zake za siasa, na 2010 atawashinda tu labda mfanikiwe kumuua lakini msisahau Mungu yupo na anawaona.

mweleze huyo siku zote mtetea haki lazima apate sulubu na upinzani mkubwa jamani, tumeona kwa Mandela Bondeni baada ya miaka 25, alikuwa raisi wa kusifika ulimwenguni so Mwakembe wakikupeleka Lupango wala hatutachoka kuku support, ukitoka tupo pamoja tutawalipizia tu tutawanyang'anya mali zetu walizotuibia,

HAPA NDIPO TUTAKAPO MUONA KAKA YETU KIKWE YUPO UPANDE WA MBUZI AU KONDOO MAANA MPAKA SASA HIVI TUKO NJIA PANDA
HATA ALIYEUZA NCHI YETU KWA WAKOLENI NI NDUGU YETU NA ALIYEIOKOA MIKONONI MWA WAKOLONI NI NDUGU YETU VILEVILE

UKIFUNGWA KWA KUTETEA HAKI ZA WANYONGEEEEE UKO juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mpwa hapa umeharibu

Hebu angalia mchungaji huyu

1252303370_wikiendafront.jpg

Yaani unataka Dr Mwakyembe afanye haya!

Huyu si Mchungaji. Huyu ni Mganga njaa. Sasa hapa alikuwa akipewa Hongo ya NGONO? Ili iwe nini? Mtoto akigawa uroda ataenda Mbinguni siyo? Atapewa maji ya UZIMA? He heeeeeee

Huyo kijana mbona unaona kabisa USIKU anavalia mikufu na kwenda kwa akina Ambwene Yesaya "Mikunu juuu". Si ajabu alipofika huyo dada akaweka wimbo wa Keri Hilson wa KNOCK ME DOWN na akaanza kurukaruka kama vile na yeye anaisho Atlanta.......

Duuu, mapaparazi kweli YAMEM-Knock down......... Kaenda chini taratiibu.
 
Hahahaha yule mhandishi nimeisha peleka credentials zake kwa Mzee Juma! Subiria kabla ya uchaguzi atakuwa kiziwi na bubu.....! Uchaguzi ukiisha atarudi hali ya kawaida..
 
mweleze huyo siku zote mtetea haki lazima apate sulubu na upinzani mkubwa jamani, tumeona kwa Mandela Bondeni baada ya miaka 25, alikuwa raisi wa kusifika ulimwenguni so Mwakembe wakikupeleka Lupango wala hatutachoka kuku support, ukitoka tupo pamoja tutawalipizia tu tutawanyang'anya mali zetu walizotuibia,

HAPA NDIPO TUTAKAPO MUONA KAKA YETU KIKWE YUPO UPANDE WA MBUZI AU KONDOO MAANA MPAKA SASA HIVI TUKO NJIA PANDA
HATA ALIYEUZA NCHI YETU KWA WAKOLENI NI NDUGU YETU NA ALIYEIOKOA MIKONONI MWA WAKOLONI NI NDUGU YETU VILEVILE
UKIFUNGWA KWA KUTETEA HAKI ZA WANYONGEEEEE UKO juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Lorah

Habari za siku! ughonile mundu gwa kyala? Tuli pamopene
 
Masa,
Hebu fikiria Mwakyembe kama Mchungaji. Si ajabu angelikuwa na MTUMBO mkubwa zaidi. Na hapo Kitandani ndiyo kamelala sijui ka nani vile? Tuseme ni Wema Sepetu maana hana hela ya kutafuta wakili kwa kosa la kuvunja kioo cha mpenzi wake wa zamani yaani Ray. Ila sasa utamshitaki Mwakyembe kwa kosa gani?

Ila mie nina wasiwasi, huyo kijana aliyetekwa na Mwakyembe hawakumpeleka KITANDANI? Haya makosa ya KUTEKA mara nyingi huwa yanaambatana na KUBAKA. Na kama kijana kweli alipelekwa kwa Mwakyembe na kushikiliwa kwa masaa 6, unaweza kuta jamaa Walimshughulikia haswaa.
Itakuwa kazi Mwakyembe kusema ALITEKA NYARA tu ila HAKUBAKA.
 
Sikonge Looohh

Give me a break! Mwakyembe na Kawema Sepetu kwenye sita kwa sita na ule wimbo wa ciara feat. justin timberlake LOVE, SEX, MAGIC....mhhhhh! Siasa ni mchezo mchafu sana!
 
mweleze huyo siku zote mtetea haki lazima apate sulubu na upinzani mkubwa jamani, tumeona kwa Mandela Bondeni baada ya miaka 25, alikuwa raisi wa kusifika ulimwenguni so Mwakembe wakikupeleka Lupango wala hatutachoka kuku support, ukitoka tupo pamoja tutawalipizia tu tutawanyang'anya mali zetu walizotuibia,

HAPA NDIPO TUTAKAPO MUONA KAKA YETU KIKWE YUPO UPANDE WA MBUZI AU KONDOO MAANA MPAKA SASA HIVI TUKO NJIA PANDA
HATA ALIYEUZA NCHI YETU KWA WAKOLENI NI NDUGU YETU NA ALIYEIOKOA MIKONONI MWA WAKOLONI NI NDUGU YETU VILEVILE

UKIFUNGWA KWA KUTETEA HAKI ZA WANYONGEEEEE UKO juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Lolah,
Naona umeandika maneno ya KISWAHILI hapa ila nafikiri wakati unaandika, ULIKUWA UKIWAZA KINYAKYUSA. Mie sikukuelewa kabisa, ila Mnyakyusa mwenzio Masanilo kakuelewa haswaa hadi kajisahau kaandika Kikwenu.

Uwe unaandika Kiswahili hata ki-maana na siyo kuandika kikwenu hapa.
 
ila Mnyakyusa mwenzio Masanilo kakuelewa haswaa hadi kajisahau kaandika Kikwenu.

Sahihisho, mimi ni Msukuma mazee! wanyakyusa ni shemeji zangu
 
Back
Top Bottom