Hii inaweza ikawa ni Poenti kwa kwa kweli! Kwa hiyo tunaweza sema kwa sasa hamna mihela Hazina?Sasa watatoaje kitu ambacho hawana
Miradi mingi tu haijalipiwa!zilikuwa mbwembwe tu
SUBIRIEN KWAN MSHAHARA MUDA WAKE UMESHA FIKA??
au una.mradi gani hauja lipwa
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Anaongelea nini?Mwigulu yupo clouds sasa hivi anahojiwa.
Ndiyo kaanza kampeni za URais 2025 nini?Mwigulu yupo clouds sasa hivi anahojiwa.
Kama hawana akili nzuri vile! WanajishaulishaWatu wanazibunya tu...
Nilifuatilia nikagundua budget hua inakua geresha tu. Wastage of time tu.Ndivyo ilivyo kila mwaka. Mwaka wa Fedha unapoanza Hazina huanza kutoa mifedha hiyo Agosti mwishoni - yaani miezi miwili mbele baada ya Bajeti kupitishwa.
Madhara yake sasa inapofika mwezi wa mwisho wa Mwaka unakuta Ofisi inahitajika kufanya Zaidi ya 60% ya kazi za Mwaka wa Fedha.
Mwisho wa siku hamna kinachofanyika na majukumu mengi yanakuwa hayajatekelezwa.
Wizara ya Fedha tatizo huwa ni nini kuchelewesha kutoa fedha za matumizi bajeti ikianza?
Siasa ziwekwe Kando Bajeti itekelezwe kwa wakati ili majukumu ya kukuza uchumi wetu yafanyike.
Du kama vile umeandika Peonti tupu!Nilifuatilia nikagundua budget hua inakua geresha tu. Wastage of time tu.
Ukiuliza mfano ya mwakajana utaambiwa utekelezaji wake ulikua only 30% actually. Sasa huoni ni upuuzi huo.
kuidiscuss budget ni upuuzi zaidi.
Mshahara mpya sio! Zimebaki siku 10.zilikuwa mbwembwe tu
SUBIRIEN KWAN MSHAHARA MUDA WAKE UMESHA FIKA??
au una.mradi gani hauja lipwa
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app