Ndivyo ilivyo kila mwaka. Mwaka wa Fedha unapoanza Hazina huanza kutoa mifedha hiyo Agosti mwishoni - yaani miezi miwili mbele baada ya Bajeti kupitishwa.
Madhara yake sasa inapofika mwezi wa mwisho wa Mwaka unakuta Ofisi inahitajika kufanya Zaidi ya 60% ya kazi za Mwaka wa Fedha.
Mwisho wa siku hamna kinachofanyika na majukumu mengi yanakuwa hayajatekelezwa.
Wizara ya Fedha tatizo huwa ni nini kuchelewesha kutoa fedha za matumizi bajeti ikianza?
Siasa ziwekwe Kando Bajeti itekelezwe kwa wakati ili majukumu ya kukuza uchumi wetu yafanyike.